PreGE2025 Mazungumzo ya Erick Kabendera na Mohammed Ghassan yarushwe na vyombo vyote vya habari Tanzania wananchi wapate elimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)


Huyo Kabendera ni mpuuzi kama wewe usioweza kuchanganua mambo. Ameandika udaku kuteka akili kama zako.

Magufuli alithibiti ugaidi MKIRU kabla hausambaa Tanzania na kuua ndugu zako, kukuua wewe, wakakimbilia msumbiji wameua watu wengi sana.

Unaongea kwa uhuru sababu ya mikakati yake kuthibiti ugaidi Tanzania.

Kabendera, Kibanda,Zitto na wapinzani wengine walikuwa wana-support haki za magaidi wakati ule. USA ,UK, EU kukiwa na ugaidi nchi nzima inapambana kuukomesha.
 
Kwani Mkuu Hittler alifanya jambo gani jipya ambalo Marekani hajalifanya? Madhara yaliyoletwa na "Little Boy & Fat Boy" kule Japan uliwahi kusikia Rais wa Marekani wa wakati ule akiitwa gaidi au dikteta?
Je, Marekani iliwahi kuwajibishwa na jumuiya ya Kimataifa kwa yaliyotokea Japan, Iraq na Libya?
Hebu tuainishie uovu mkubwa alioufanya Hittler unaoufahamu hadi kumchukulia kama kielelezo cha kuwa kinara cha uovu hapa duniani.
JPM aliingia madarakani 2015 na kufariki 2021, je, hayo unayoyasema hayajawahi kuwepo kabla yeye kuingia madarakani na kutoka madarakani?
Kabla Simba hawajapata mwanahistoria wao na kuandika historia, siku zote simulizi zitambeba mwindaji na kuonekana shujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…