Mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

⚡️BREAKING: Sasisho la mazungumzo ya kusitisha mapigano:

Kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV:

➤ Hamas imewasilisha Misri orodha ya wafungwa ambao wataachiliwa katika awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano.

➤ Maelewano yamefikiwa kuhusu pointi na maeneo ambayo Israeli itajiondoa wakati wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano.

➤ Wiki moja baada ya kusitishwa kwa mapigano, wafungwa wataachiliwa, na Israeli itajiondoa katika maeneo ambayo walikubaliana.

➤ Katika awamu ya kwanza, Israeli itajiondoa kwenye kivuko cha Rafah na maeneo fulani kando ya mhimili wa Salah al-Din.

➤ Cairo itatoa orodha ya wafungwa na kujadili hoja za kujiondoa na ujumbe wa Israel ndani ya siku mbili.

View: https://x.com/suppressednws/status/1866108805915840555?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Pamoja na kumshambulia binafsi lakini Ritz, ndiyo mtu peke anayewapa habari 😂
 
Sisi wayahudi wa Mtogole hatuhitaji mazungumzo maana mmetuzushia sana kuwa tunakaribisha mazungumzo kwa kuwa tumeshindwa vita. Kwa sasa tutaendelea kurusha makombora kwenye mahema na makazi bila kujali kuna mazungumzo au la
 
Vipi tena Israel wanaingia kwenye mazungumzo na Magaidi juzi Trump kawapa onyo Hamas kuwa kabla ajaingia ofisini Hamas wawaachie mateka la sivyo watajuta😂
 
Cream yote ya Hamas imefyekwa; top leadership yote ya Hezbollah iko kaburini; Gaza imegeuzwa ruins; Israel shughuli zinaendelea kama kawaida as if nothing happened yet unauliza hilo swali! Dah.
Nothing happened? Uliza wanamgambo wa IDF ndio utapata majibu kwamba nothing happened. Sema Israel raia wake ndio hawajapata kashikash amefanikiwa kwa hilo japo wengi wametoroka nchi.
 
Palestina hamna mambo yenu ya kilokole sijui cream, wewe huogopi kiongozi anaingia front kupigana Palestina kila rais ni cream, nyie wagalatia ndiyo mnagopa kufa, Muasisi wa Hamas kauliwa miaka mingi imepita kaacha cream tupu.
 
Nothing happened? Uliza wanamgambo wa IDF ndio utapata majibu kwamba nothing happened. Sema Israel raia wake ndio hawajapata kashikash amefanikiwa kwa hilo japo wengi wametoroka nchi.
Wellbeing ya wananchi ndilo jukumu la msingi la any legitimate government. Israel watoto wa shule hawajawahi kukosa maziwa na lishe wawapo mashuleni sembuse nyumbani; in fact wala hawajui kama nchi yao iko vitani. Soldiers kufa wakilinda nchi yao ndio jukumu lao.
 
Kwahio tumeelewana something happened saivi waisraeli wanauawa pia nchi za Watu, kuna waliouawa Morocco,uholanz na German kimataifa saiv muisraeli yuko unsecured kwahio kuna kitu kimetokea
 
Nimezungumzia top leadership ya Hamas na Hezbollah kufyekwa wewe unaleta story za myahudi kuvamiwa na vibaka Morocco.
 
Nothing happened? Uliza wanamgambo wa IDF ndio utapata majibu kwamba nothing happened. Sema Israel raia wake ndio hawajapata kashikash amefanikiwa kwa hilo japo wengi wametoroka nchi.
Hawajafanikiwa chochote Hezbollah na Iran walikuwa wanasema wazi wao hawapigani kama jeshi la waoga la Israel kupiga majengo na
Kuuwa raia wasiyokuwa na hatia wao wanapiga tagerts wakitaka kupiga majengo wanaweza maana mfumo wa ulinzi wa Israel ulishindwa kuzuia makombora.
 
Nimezungumzia top leadership ya Hamas na Hezbollah kufyekwa wewe unaleta story za myahudi kuvamiwa na vibaka Morocco.
Mimi nimejibu kitu kimoja tu. Ambacho ulizungumza kwamba Israel wako kama hakuna kilichotokea basi,

Kuhusu viongozi kufyekwa hio ni ushindi kwa Israel maana ni moja ya malengo yake lakini kwa hamas na hezb hiyo ni ajali ndio maana bado wanapigana ni kama kucheza draft huwezi kucheza draft usiliwe kete never, kete za pande zote zitalika tu haijalishi nani anatashinda mchezo, hezb nao walifyeka kikosi kizima cha Golan kwa nyakati tofauti ndani ya siku 60 hivyo ndio game hio
 
Vipi tena Israel wanaingia kwenye mazungumzo na Magaidi juzi Trump kawapa onyo Hamas kuwa kabla ajaingia ofisini Hamas wawaachie mateka la sivyo watajuta😂
Kwani aliyetoa mapendekezo ya mazungumzo si ni Hamas? Hao Hamas watupishe kwanza maana wao tushamalizana nao, tumedhibiti chakula, maji na nishati. Kwa sasa tupo bize na kuchukua miji ya Syria
 
So Called Axis of Resistance imepokea kipigo kizito.
 
Back
Top Bottom