ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Huu kama mchezo wa kuigiza unafanywa watu waliovunjiwa majengo na kuuliwa vile na itikadi yao kuikomboa Palestine kutoka kwa Mazayuni wasingekubali kirahisi hivi hawa Hamas wameonyesha udhaifu mbele ya mazayuni na ni waoga na wanafiki.