Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni.
Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano?
Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani.
Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na Ethiopia. Nani kaambiwa kinachoongelewa??