Jitahidi upitie kumsikiliza mkuu. Jamaa hapoi wala haboi.Akimaliza mniwekee summary nipitie kwa ufupi
Jina lako tu, ni kiashiria namba moja kwamba haujitambui wewe ni nani?Siku hizi umecha kumfatilia mange na kuleta
USSR
Sio kidogo, Taifa lazima lijitafakari, hii ni dalili mbaya na ya hatari.Inasikitisha sana
Tumsikilize leo anajambo gani
Updates...
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!
Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na hao hao.
Vyombo vya ulinzi na usalama kwa maana ya usalama wa taifa, jeshi la wanannchi, jeshi la polisi, takukuru, jeshi la uhamiaji tuzeni kila kipisi, bunje ya taarifa ya matumizi mabaya ya madaraka ya mtu yoyote iko siku inakuja tutataka hesabu kwa kila mtu aliyekuwepo kwenye vyombo na mwenye dhamana ya kutunza taarifa hizi.
Hatutaka kusikia zimepotea, azionekani na zitapotea na wewe kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi yetu,
Polepole
View: https://www.youtube.com/live/Y4LQKofuBTw?si=vHVrNo4c7aALUEZ4
Umbea majungu fitina vipi ccm na sasa utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo chademaKazi ya chadema ni umbea tu wanaume kama mabinti
USSR
OOOooh, Gosh!Caption 1: Wicknell Chivayo (Fisadi wa Zimbabwe) na Raisi wa JMT (IKULU)
Mkuu 'Ryan Holiday', kwa mara nyingine nikushukuru kwa kuweka mhitasari huo kiufundi sana.Mzalendo Ndugu H. Polepole amezungumza mengi kati ya machache ya msingi. Huu ni muhtasari wake:-
Mkuu 'Ryan Holiday', kwa mara nyingine nikushukuru kwa kuweka mhitasari huo kiufundi sana.
Ni kawaida yangu kuonyesha shukrani kwa kuweka alama za "love, Like...'
Leo nimeshindwa kufanya hivyo kutokana na hizo picha zilizo ongezeka kwenye mada yako. Ni picha zinazo fadhaisha na kudhalilisha taifa hili.
Mkuu wa nchi yetu sasa anaweza kushuka na kufikia kiwango hiki? Kwa sababu zipi hasa!
Kama ulivyo sema mwenyewe, "Ni shauri...", nami nakubali ni ushauri mzuri, lakini hii siyo kazi ya mtu mmoja. Hii ni kazi ya waTanzania wote wasiopenda mambo ya namna hii.Mheshimiwa pole pole mbona hutupi data nyingi , tunaomba ongeza details ili mazungumzo yawe matamu, mfano
1. Mzee wasira ungemtaja kabisa aliyembeba, ufisadi wake , vikao vyake na wahuni
2. Ukija mtu B Abduli tafuta data kido kwa uwezo wako watu wajue labda yeye ndo kapewa order ya vifaa vyote vya kampeni au? je budget yake labda inafaziliwa na watu B na C akiwemo Rostam kama yupo?
3. Ukija ufisadi ebu weka numbers kidogo na details tumekesha kusubiri hotuba lakini imekuja ya kawaida mheshimiwa balozi tunaomba nondo kweli kweli kama enzi za Dr slaaa wa 2007 - 2010 na akina kubenea wa kiama hiyo
Ni ushauri uuchukue au uuache kama pumba
Huyu mtu anaweza kuonyesha sura ya namna hii kwa jamii, kama kiongozi; kiuhalisia, huyu mama kweli kuna jambo linaloweza kumstua, kumfedhehesha?hadhi yake ni mkuu wa bendi ya taarab visiwani
Crap. Waache watu wema wenye akili safi wafuatilie.Sasa anataka kutembea na upepo wa nyerere baada pumba zake za juzi sijui mtungi was gesi mara kupuliziwa sumu zimedunda.....