Mazungumzo ya Ndugu H. Polepole kuhusu mustakabali wa taifa na kuwapiga wahuni

Siku hizi umecha kumfatilia mange na kuleta

USSR
Jina lako tu, ni kiashiria namba moja kwamba haujitambui wewe ni nani?

Sasa ntabishana vipi na mtu ambaye, haujui uhalisia wake?
 
Sasa anataka kutembea na upepo wa nyerere baada pumba zake za juzi sijui mtungi was gesi mara kupuliziwa sumu zimedunda.....
 
Mheshimiwa pole pole mbona hutupi data nyingi , tunaomba ongeza details ili mazungumzo yawe matamu, mfano
1. Mzee wasira ungemtaja kabisa aliyembeba, ufisadi wake , vikao vyake na wahuni
2. Ukija mtu B Abduli tafuta data kido kwa uwezo wako watu wajue labda yeye ndo kapewa order ya vifaa vyote vya kampeni au? je budget yake labda inafaziliwa na watu B na C akiwemo Rostam kama yupo?
3. Ukija ufisadi ebu weka numbers kidogo na details tumekesha kusubiri hotuba lakini imekuja ya kawaida mheshimiwa balozi tunaomba nondo kweli kweli kama enzi za Dr slaaa wa 2007 - 2010 na akina kubenea wa kiama hiyo

Ni ushauri uuchukue au uuache kama pumba
 
Caption 1: Wicknell Chivayo (Fisadi wa Zimbabwe) na Raisi wa JMT (IKULU)
OOOooh, Gosh!
This is a president of a country?
Even a banana Republic has some semblance of some respectability.

How much is this individual buying all the favor for?
The other day he was seen dishing out American dollars to employees at the airport; what assets did they allow through in exchange for their inattention at their work stations?

Now you can only imagine what the next five years are going to look like or even worse.
 
Mzalendo Ndugu H. Polepole amezungumza mengi kati ya machache ya msingi. Huu ni muhtasari wake:-
Mkuu 'Ryan Holiday', kwa mara nyingine nikushukuru kwa kuweka mhitasari huo kiufundi sana.

Ni kawaida yangu kuonyesha shukrani kwa kuweka alama za "love, Like...'
Leo nimeshindwa kufanya hivyo kutokana na hizo picha zilizo ongezeka kwenye mada yako. Ni picha zinazo fadhaisha na kudhalilisha taifa hili.

Mkuu wa nchi yetu sasa anaweza kushuka na kufikia kiwango hiki? Kwa sababu zipi hasa!
 

hadhi yake ni mkuu wa bendi ya taarab visiwani
 
Kama ulivyo sema mwenyewe, "Ni shauri...", nami nakubali ni ushauri mzuri, lakini hii siyo kazi ya mtu mmoja. Hii ni kazi ya waTanzania wote wasiopenda mambo ya namna hii.

Pole pole kadokeza kwa kiasi alicho fanya. Kuna watu chungu nzima wanaojuwa yote haya aliyo yagusia Polepole; na hata wewe mwenyewe, mkuu 'ndoto2020' hukosi kujuwa baadhi ya mambo hayo; na hata kama hujui, si unaweza kusaidia mchango wako kwa kutafuta taarifa toka vyanzo mbalimbali?

Maana yangu ni kuwa, tusiwe tegemezi tu tufanyiwe. Kila mTanzania mwenye kulitakia taifa hili mema anao mchango, hata kama ni kidogo.
Wewe unaweza kujua kitu, ambacho mimi na wqwengi wengine hawakijui. Ukiweka hapa, huo ni mchango kwetu sote katika juhudi zetu za pamoja.
 
hadhi yake ni mkuu wa bendi ya taarab visiwani
Huyu mtu anaweza kuonyesha sura ya namna hii kwa jamii, kama kiongozi; kiuhalisia, huyu mama kweli kuna jambo linaloweza kumstua, kumfedhehesha?
Sasa naelewa kwa nini vifo vya waTanzania kama Mzee Kibao na vijana waliopotezwa na wengine kuumizwa havimgusi kabisa.
Huyu ana tabia za kiajabu sana.
Kuna siku ataamuru alitewe kichwa cha mtu kwenye sinia huyu!
 
"Kampeni inasimamiwa na Abdul"

"Baba wa Taifa alipigwa Pini kitabu chake kisichapishwe"

"Samia anashirikiana na wanamtandao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…