Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Sawa nimekuelewa kabisa niliondoka nchini muda kidogo sina nyingi za ndani , ntashiriki kuleta , basi atutengenezee hotline moja ya whatsup ya watu wenye data watume lakini wawe wanatuma na evidence , mfano, Mbeya kuna kampuni wizara ya afya imemlipa Bhojan limited , millioni 900 kwa dawa ambazo MSD naye keshamlipa amount hiyo hiyo kisingizio kaagiza india wao walikuwa hawana, na bado hajadeliver japo huu ni wizi mdogo sana ukilinganisha na madudu ya wizara ya fedha, kilimo, bandari ebu mpina aungane na polepole kutangaza uozo online kama mikutano imezuiliwaKama ulivyo sema mwenyewe, "Ni shauri...", nami nakubali ni ushauri mzuri, lakini hii siyo kazi ya mtu mmoja. Hii ni kazi ya waTanzania wote wasiopenda mambo ya namna hii.
Pole pole kadokeza kwa kiasi alicho fanya. Kuna watu chungu nzima wanaojuwa yote haya aliyo yagusia Polepole; na hata wewe mwenyewe, mkuu 'ndoto2020' hukosi kujuwa baadhi ya mambo hayo; na hata kama hujui, si unaweza kusaidia mchango wako kwa kutafuta taarifa toka vyanzo mbalimbali?
Maana yangu ni kuwa, tusiwe tegemezi tu tufanyiwe. Kila mTanzania mwenye kulitakia taifa hili mema anao mchango, hata kama ni kidogo.
Wewe unaweza kujua kitu, ambacho mimi na wqwengi wengine hawakijui. Ukiweka hapa, huo ni mchango kwetu sote katika juhudi zetu za pamoja.
waTanzania - WatanzaniaKama ulivyo sema mwenyewe, "Ni shauri...", nami nakubali ni ushauri mzuri, lakini hii siyo kazi ya mtu mmoja. Hii ni kazi ya waTanzania wote wasiopenda mambo ya namna hii.
Pole pole kadokeza kwa kiasi alicho fanya. Kuna watu chungu nzima wanaojuwa yote haya aliyo yagusia Polepole; na hata wewe mwenyewe, mkuu 'ndoto2020' hukosi kujuwa baadhi ya mambo hayo; na hata kama hujui, si unaweza kusaidia mchango wako kwa kutafuta taarifa toka vyanzo mbalimbali?
Maana yangu ni kuwa, tusiwe tegemezi tu tufanyiwe. Kila mTanzania mwenye kulitakia taifa hili mema anao mchango, hata kama ni kidogo.
Wewe unaweza kujua kitu, ambacho mimi na wqwengi wengine hawakijui. Ukiweka hapa, huo ni mchango kwetu sote katika juhudi zetu za pamoja.
Sio mtu yoyote Futa kauli hii ya mtu yoyoteSijawahi kuelewa huyo Muhuni wa Zimbabwe alifikaje Ikulu sijawahi kuelewa aisee ingawaje mtu yeyote anaweza kumuona Mama ila sio kwa huyu muhuni au walidanganywa kuwa ni Wawekezaji kutoka Zimbabwe jaribuni kutuuuliza sisi tuliokua nao huku aisee.
Acha mambo yako faza viongozi ukitaka kukutana nao unakutana nao tu wala sio big ishu aisee daah.Sio mtu yoyote Futa kauli hii ya mtu yoyote
SawaAcha mambo yako faza viongozi ukitaka kukutana nao unakutana nao tu wala sio big ishu aisee daah.
wamekumbatiana yaaaani duh jamani mashalaahMzalendo Ndugu H. Polepole amezungumza mengi kati ya machache ya msingi. Huu ni muhtasari wake:-
1. Ndugu Pole pole ameanza kwa kusema, Mwl. Julius K. Nyerere "Baba wa Taifa" ndiye mtu pekee aliye wafundisha kusema kwa uhuru na kusimamia kweli. Huku akisisitiza watu wanapaswa kuwa huru kuweka mawazo yao hadharani.
2. Asema Mwl. Julius K. Nyerere aliwahi kupigwa pini na Wahuni asichapishe kitabu, ili kuweka mawazo yake hadharani. Jambo lililopelekea Baba wa Taifa kusema "ntarudisha kadi yenu ya CCM".
3. Asema tumtangulize Mungu mbele lakini tusiogope Binadamu.
4. Asema TCRA inatisha wanahabari wasirushe na kusambaza maudhui anayoyatoa Ndugu H. Polepole. Huku amkisisitiza Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kuitenda kazi yake ndani ya taratibu na sheria -- Anapaswa akatae kuendeshwa kwa mashinikizo.
5. Ameleeza namna ambavyo Mzee Wasira aliwahi kutumkana "Baba wa Taifa" Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
6. Amesema namna ambavyo CCM mtandao imetengeneza mifumo nje ya Chama cha Mapinduzi kwa ajili ya kuendesha chaguzi na shughuli nyingine za kichama.
7. Pia ameendelea kutaja majina ya wanamtandao huku akianza na Kikwete, Nchimbi na Wasira. Huku akisema hata Mama Samia ni miongoni mwao kwa sababu hauwezi kufanya kazi na wanamtandao, alafu wewe ukawa tofauti na wanamtandao.
8. Amezungumza namna ambavyo mtoto wa Raisi Abdoul anavyojihusisha na shughuli za kuchapisha matisheti ya Chama cha Mapinduzi na vikundi vya kutukana watu mtandaoni.
9. Pia amelezea namna ambavyo shughuli nyingi za kuendesha kampeni zinavyosimamiwa na mtoto wa Raisi "Abdoul". Huku akisema hili linachafua taswira na heshima ya Chama cha Mapinduzi.
10. Amepinga vikali kauli ya Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi aliyosema kwamba itaundwa Tume ya Maridhiano siku 100 zijazo, baada ya uchaguzi. Huku Ndugu Polepole akisema "kama kuridhiana basi turidhiane sasa kabla ya kuingia kwenye Uchaguzi".
11. Amesikitishwa na namna ambavyo Raisi wa Nchi anavyopiga picha zisizo na maadili ya Uongozi ndani ya Ikulu. Huku akipiga picha hizo na watu wenye kashfa mbaya na chafu kwenye taswira ya Dunia. Mfano Wicknell Chivayo (Fisadi wa Zimbabwe).
12. Amesema tena Mama Samia amezungukwa na watu wenye harufu ya ufisadi. Huki akimtaja tena Angela Kiziga, Abdoul, Rostam na kusema inaleta taswira gani kwenye jamii.
13. Pia amelezea namna ambavyo Mtoto wa Raisi ''Abdoul'' alivyoenda Uganda kukutana na Raisi Museven kwa ajili ya kutaka kufungua mradi wa kuzalisha umeme. Huku akisisitiza ikulu wamekaa wafanyabiashara.
14. Mwisho, Ndugu Humphrey Polepole ametoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi, vikiwemo Jeshi la Wananchi, Idara ya Usalama, Jeshi la Polisi, TAKUKURU, Uhamiaji, Magereza na Jeshi la Kudhibiti Madawa ya Kulevya. Amesisitiza umuhimu wa kutunza kila kipande na kila punje ya taarifa zinazohusiana na matumizi mabaya ya madaraka ya mtu yeyote, kwa kuwa ipo siku taarifa hizo zitahitajika. Aidha, ameonya kwamba yeyote atakayezipoteza taarifa hizo, basi naye mwenyewe atapotea pamoja nazo.
View attachment 3464358
Caption 1: Wicknell Chivayo (Fisadi wa Zimbabwe) na Raisi wa JMT (IKULU)
View attachment 3464359
Caption 2: Wicknell Chivayo (Fisadi wa Zimbabwe) na Raisi wa JMT (IKULU)
"Ukombozi Huanza Akilini"
wewe umekutana nao wangapi mpaka sasa, uliongea nao mambo ganiAcha mambo yako faza viongozi ukitaka kukutana nao unakutana nao tu wala sio big ishu aisee daah.
Nimekuelewa sana Kiongozi.Mkuu 'Ryan Holiday', kwa mara nyingine nikushukuru kwa kuweka mhitasari huo kiufundi sana.
Ni kawaida yangu kuonyesha shukrani kwa kuweka alama za "love, Like...'
Leo nimeshindwa kufanya hivyo kutokana na hizo picha zilizo ongezeka kwenye mada yako. Ni picha zinazo fadhaisha na kudhalilisha taifa hili.
Mkuu wa nchi yetu sasa anaweza kushuka na kufikia kiwango hiki? Kwa sababu zipi hasa!
Hukuelewa kilicho andikwa?waTanzania - Watanzania
mTanzania - Mtanzania
Huu uandishi gani?
Magufuri, kikwete na Ramaphosa.wewe umekutana nao wangapi mpaka sasa, uliongea nao mambo gani
tatizo siyo kukutana na viongozi hapana tatizo ni namna ya kukutana