Mazungumzo yasiyosikika

lady L, usiache kupita huku
 
Last edited by a moderator:
ndio maana wazungu wakaweka sehemu ya kuandika msg kwenye simu vuta picha ingekuwaje kila unachotaka kumwambia mwenzako kupitia simu lazima upige!

Hiyo ni sehemu tu ya mazungumzo yasiyosikika kwakuwa hata kuandika ujumbe mfupi (msg), ni Yale unayoyawaza kimyakimya na kuyabadili kwenye maandishi
cc: kamajuzi,
 
Daaah! Itokee mtu amenikera anavyoendelea kuongea me kimya ila majibu nayompa ambayo hayasikii angesikia anaweza asiamini km ni mimi naemjibu akaishia kupata pressure na nilivyo naonekana mpole

unanitisha Luv
 
Last edited by a moderator:
Jamani hata makanisani na misikitini mtu anakuona upon deep unasali..kumbe upo kimwili tu kiroho haupo....hahaha very nice thread

Na hawa ni wengi mno mpaka viongozi wenyewe
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
mshana jr nakuunga mkono mia kwa mia unajua ndani ya dk moja binadamu anawaza mamilioni ya mawazo
 
sometimes nawaza mambo makubwa sana sipati picha ingekuwa kwa sauti...sijui mh rais angechukuliaje
 
Hii kitu ipo sana unaona kabisa watu wanetulia kimya wanasikiliza kwa makini kumbe vichwani mwao ni zogo tupu
Mkitulia kimya kundi la watu kizamani zamani utasikia shetani kapita kumbe wapi watu wapo na halmashauri zao za vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…