shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Mkuu unanikumbusha jkt wale jamaa wanapotoa kifinyo kwa vijana kumbe wanajua vijana wanatukana kimoyomoyoDaaah! Itokee mtu amenikera anavyoendelea kuongea me kimya ila majibu nayompa ambayo hayasikii angesikia anaweza asiamini km ni mimi naemjibu akaishia kupata pressure na nilivyo naonekana mpole
Mamodi hao sio mm[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwani hizo picha nani huwa anaziweka?Umenishtakia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]na uko ndo kuna ndoto za bunuasi nyingi yani unaweza kujiona ni mungu kumbe ni mtanzania mchwara
Una mengi yalofichikaMoyo wa mtu kichaka
Aisée we mdadaUna mengi yalofichika
Kunani ten mkakaAisée we mdada