Mazungumzo yasiyosikika

Mazungumzo yasiyosikika

Daaah! Itokee mtu amenikera anavyoendelea kuongea me kimya ila majibu nayompa ambayo hayasikii angesikia anaweza asiamini km ni mimi naemjibu akaishia kupata pressure na nilivyo naonekana mpole
Mkuu unanikumbusha jkt wale jamaa wanapotoa kifinyo kwa vijana kumbe wanajua vijana wanatukana kimoyomoyo
 
Mkuu unanikumbusha jkt wale jamaa wanapotoa kifinyo kwa vijana kumbe wanajua vijana wanatukana kimoyomoyo
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
9954a45e312e84199f21b36e562fb82d.jpg
 
Back
Top Bottom