Noted mkuuMazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.
Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.
Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Kaka mshana naomba kuongea nawe kakaangu nipo kwenye magumHii kitu ipo sana unaona kabisa watu wanetulia kimya wanasikiliza kwa makini kumbe vichwani mwao ni zogo tupu
Kaka mshana naomba kuongea nawe kakaangu nipo kwenye magum
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nilikua najaribu kukutumia msg inakataaKaribu bila Shaka ila pitia hapa kwanza
Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika). Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni, kimtazamo, kimahusiano na kifikra pia. Kwanza lazima...www.jamiiforums.com
Aisee
Hata sijui kaka mimi mgeni humMmh hebu check na Moderator
Mi maongezi ninayotamani kuyasikia ni yale ya ule ukimya unaokuwepo kwa ke wakati me anavaa kinga kwenye penzi jipya. Huwa natamani kujua ke anawaza nini.
Maana yake Nini ?Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.