Mazungumzo yasiyosikika

Mazungumzo yasiyosikika

Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.

Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.

Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Noted mkuu
 
Kaka mshana naomba kuongea nawe kakaangu nipo kwenye magum

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Karibu bila Shaka ila pitia hapa kwanza

Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
 
Nilikua najaribu kukutumia msg inakataa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Maslahi ya kiroho kwenye matokeo tasa ya kimwili yaliyoharibika
 
Mi maongezi ninayotamani kuyasikia ni yale ya ule ukimya unaokuwepo kwa ke wakati me anavaa kinga kwenye penzi jipya. Huwa natamani kujua ke anawaza nini.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]na wewe huwa unawaza nini hasa akikuvalisha yeye
 
Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.

Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.

Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Maana yake Nini ?
 
Back
Top Bottom