Mazungumzo yasiyosikika

Mazungumzo yasiyosikika

Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.

Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.

Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Kweli kabsa braza kaka niko kwenye boda boda lakin bichwa linaongea mpaka naona boda boda aiendi
 
Mazungumzo yasiyosikika ni asilimia tisini ya mazungumzo yetu yote yanayosikika kila siku katika maisha yetu.

Mazungumzo yasiyosikika ni yale tunayoongea wenyewe kwenye bongo zetu, tunapanga tunapangua tunakumbuka hili tunawaza hili yote haya kimya kimya lakini wakati huo uko unafanya jambo lingine au unasikiliza mazungumzo mengine au unaongea Mko kwenye mkusanyiko wa watu, kanisani, msikitini, kwenye kutano au kwenye chombo cha usafiri kuna wazungumzaji wachache wanaongea mnawasilikiliza kwa makini mko kimya, lakini kiuhalisia kila mmoja yuko busy akilini mwake anaongea yake.

Mazungumzo yasiyosikika ni mengi mno na kama kila mmoja angetaka kuyaongea kwa sauti inayosikika basi dunia ingejaa mwangwi mkubwa mno yani ni kama vile walokole wanaposali kwa sauti.
Aithee; Leo umeamka ki-vingine. Yani kweli kama hayo yasiyosikika yangeliwekwa kwa sauti ya kusikika na yakawekwa pia kwenye Uhalisia kwa matendo ki-utekelezaji cjui ingekuwaje. Pasingetosha hata pakichimbika. Mtu anaweza kwa mfano, kumtamania mauti mtu mwenzake (Kufa shenzi kabisa) eti kisa ni amemuudhi ana hasira juu yake, au ameshindwa kufanya kama anavotaka au ni mkorofi, haambiliki, anabisha kila kitu na harekebishiki n.k. n.k. Lakini hayo hayatamkwi yakasikika kwani yatazua Tafrani kubwa ya kiwango cha hali ya juu. Watu kwa kawaida hapo wanakaaga kimywa au wanalainisha lugha na kusema "Ah! haya bhana" Funika kombe mwana haramu apite.
Hongera sana bro. Mshana kwa uzi huu Mzthuri. 👍 👍 🤣 Nimejifunza kitu hapa.
 
Aithee; Leo umeamka ki-vingine. Yani kweli kama hayo yasiyosikika yangeliwekwa kwa sauti ya kusikika na yakawekwa pia kwenye Uhalisia kwa matendo ki-utekelezaji cjui ingekuwaje. Pasingetosha hata pakichimbika. Mtu anaweza kwa mfano, kumtamania mauti mtu mwenzake (Kufa shenzi kabisa) eti kisa ni amemuudhi ana hasira juu yake, au ameshindwa kufanya kama anavotaka au ni mkorofi, haambiliki, anabisha kila kitu na harekebishiki n.k. n.k. Lakini hayo hayatamkwi yakasikika kwani yatazua Tafrani kubwa ya kiwango cha hali ya juu. Watu kwa kawaida hapo wanakaaga kimywa au wanalainisha lugha na kusema "Ah! haya bhana" Funika kombe mwana haramu apite.
Hongera sana bro. Mshana kwa uzi huu Mzthuri. [emoji106] [emoji106] [emoji1787] Nimejifunza kitu hapa.
FB_IMG_1653616467461.jpg
 
Goloko! Mwenzako kaandika hii kitu tangu 2014 halafu wewe unamwambia "leo"
 
“So, now I shall talk every night. To myself. To the moon. I shall walk, as I did tonight, jealous of my loneliness, in the blue-silver of the cold moon, shining brilliantly on the drifts of fresh-fallen snow, with the myriad sparkles.

I talk to myself and look at the dark trees, blessedly neutral. So much easier than facing people, than having to look happy, invulnerable, clever.

With masks down, I walk, talking to the moon, to the neutral impersonal force that does not hear, but merely accepts my being. And does not smite me down.”

Screenshot_20220709-170322.jpg
 
Back
Top Bottom