Mazuri ya treni ya umeme

Mazuri ya treni ya umeme

Shida ya mfumo mbovu wa nchi hii, mtu akiteuliwa anawaza kuiba pekee badala ya kutumikia jamii
 
Sio tu kwenye mwendokasi- tunahitaji serious management inayoweza kusimamia, kuendeleza na kuitunza miundo mbinu yote ya mashirka yote ya umma. Tuna upungufu sana katika makupuni ya uendeshaji (Management firms/organisation) na haya mambo ya kukojoa kwenye sinki hayataisha.
Wanawekwa UVCCM matokeo yake wanaharibu sn nchi
 
Ni umaskini wa maisha na fikra. Nchi yenye wajinga wa kutupwa ni Tanzania
 
Back
Top Bottom