Sio tu kwenye mwendokasi- tunahitaji serious management inayoweza kusimamia, kuendeleza na kuitunza miundo mbinu yote ya mashirka yote ya umma. Tuna upungufu sana katika makupuni ya uendeshaji (Management firms/organisation) na haya mambo ya kukojoa kwenye sinki hayataisha.