MB Dogg vs Z. Anto

MB Doggy wakati yupo kwenye peak alikuwa hana mshindani. Ngoma pekee iliyoleta ushindani kwa Latifa wakati huo ilikuwa Vailet ya Matonya. Nyimbo zingine kama Mapenzi kitu gani n.k zilifanya vizuri sana

Z Anto alifanya vizuri katika Mpenzi Jini na baadaye sana Kisiwa cha Malavidavi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Saga plage sio Sagablasha mkuu kusoa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kumfananisha mb dog na watoto wadogo
 
Acha kabisa enzi za Mb Doggy ilikuwani balaa tupu kabisa. Yani hakuna hisia nilikosaskia kwa nyimbo kama Latifah, si uliniambia, mapenzi kitu gani, ina maana, sagaprasha, na nyingine kibao bila kusahau na zile collabo za bongo records team.
 
Achana na Mb Mbwa aisee maana alikua mbwa kweli kweli kwenye nyimbo za kuimbia mapenzi!
 

Attachments

Japo Z Anto nae alikua si haba,tusimchukulie poa
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…