MB Dogg vs Z. Anto

MB Dogg vs Z. Anto

MB Doggy wakati yupo kwenye peak alikuwa hana mshindani. Ngoma pekee iliyoleta ushindani kwa Latifa wakati huo ilikuwa Vailet ya Matonya. Nyimbo zingine kama Mapenzi kitu gani n.k zilifanya vizuri sana

Z Anto alifanya vizuri katika Mpenzi Jini na baadaye sana Kisiwa cha Malavidavi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
MB Dog ni habari nyingine, alikuwa na hits song nyingi kumzidi hata huyo Z Anton.

Kuna nyimbo kama Latifa, Si uliniambia na Sagablasha.

Hiyo Sagablasha ni balaa,baadhi ya mistari;
Sagablasha alivaa kitopu cha bluu kimeandikwa karibu Bujumbura, nikamtafuta nimwone sikumwona tena.
Ni Saga plage sio Sagablasha mkuu kusoa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo tuwapambanishe manguli wawili wa Bongo Flavour, hawa ni wasanii ambao walibadilisha muziki wa bongo kuwa R&B halisi miaka ya 2003 & 2004 vilitoka vibao viwili vilivyosumbua sana cha kwanza Z. Anto ni Binti Kiziwi, cha pili ni Latifa kutoka kwa MB Dog

Z. Anto
--binti kiziwi
--mpenzi jini
-kisiwa cha malavi Davi
MB Dog
_latifa
_mapenzi kitu gani
_si uliniambia

Unadhani nani alitisha zaidi
acha kumfananisha mb dog na watoto wadogo
 
Acha kabisa enzi za Mb Doggy ilikuwani balaa tupu kabisa. Yani hakuna hisia nilikosaskia kwa nyimbo kama Latifah, si uliniambia, mapenzi kitu gani, ina maana, sagaprasha, na nyingine kibao bila kusahau na zile collabo za bongo records team.
 
Achana na Mb Mbwa aisee maana alikua mbwa kweli kweli kwenye nyimbo za kuimbia mapenzi!
 

Attachments

Japo Z Anto nae alikua si haba,tusimchukulie poa
 

Attachments

Back
Top Bottom