MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

samahanini wajameni, kama nimewaudhi, nimewaumiza mnisamehe, tatizo ni kwamba nimeongea moja kwa moja bila kuficha, yaani nimeongea kwa uwazi, nilitakiwa niongee kwa kufichaficha kwasababu humu ndani kuna wengine wenye degree za mzumbe voda fasta ningeweza kuwaumiza moyo....sitarudia kuwakwaza.....

Nafikiri MZUMBE NI CHUO BOOORA, MPA CORPORATE MANAGEMENT YA MZUMBE NI BORA MARA MIA KULIKO ILE YA UDSM. na Mzumbe ni chuo bora kuliko vyuo vyote Tz na africa mashariki nzima. nawashauri watu wachague kusoma mzumbe badala ya vyuo vingine, kwasababu chuo hiki ni kizuri kitaaluma (hata kama kuna vodafasta) hakuna mfano...MZUMBE JUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
icho choo cha mzumbe. Bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina dr.kamala, dr. Mery nagu etc....you now get the picture.....

upupuuuuuuuuuuuu!
 
Hey Buddy,
You should search online for better results or you could take an advice from experts or experienced holders.It would be the best option for you.

[TABLE="width: 320"]
[TR]
[TD="width: 320"]work permit canada
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 320"]
[TR]
[TD="width: 320"]canada work permit
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
What are better results to be searched on line? and what is the advice from expert from the two links you have provided? They are irrelevant from the discussion thread.
 
What are better results to be searched on line? and what is the advice from expert from the two links you have provided? They are irrelevant to the discussion thread.
 
Ndugu KIPILIME,

Asante kwa kunipa mwangaza, ingawa bado hujajibu sehemu ya pili ya swali...Nataka kujua courses zilizomo kwenye MBA--Corporate Management, Asante tena...

Humu jf si pahala kwema kwakuuliza maswali kama hayo,humu ndani kwasasa wenye akili,busara tupo wachache kweli,wengi wao HAMNAZO nadhani hata wewe umesibitisha ilo.
Jibu zuri kabisa,visit www.mzumbe.ac.tz,then frontpage{leftsid utakuta "prospectus" humu utakuta kila kitu.
 
Hiyo mnayosema MBA ya UD nayo hovyo tu malecturer hawaingii class karibu semester nzima wanakimbizana na consultancy zikibaki wiki chache wanaanza kuwapiga crush programme. Halafu ukija kwenye dissertation ndo utatamani kulia. Unampelekea supervisor draft ya kazi yako anaisoma miezi 3 ndo amewahi sana. Hajali kuwa we una mipango yako ya kusoma na unataka kugraduate katika muda uliopanga provided una uwezo.
 
Halafu wewe jamaa mjinga kweli. Unafikiri kusoma nje ndiyo ujanja? Wewe na hicho kielimu chako cha nje hauna dili na wala huwezi kujilinganisha na watanzania wazalendo waliosoma vyuo vya Tanzania, wewe kwanza umebeba box na mtumwa, na usikute hujarudi hata bongo mtumwa weye wa mabeberu!
 
icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....
Halafu ukirudi bongo wewe hautakaa kupata kazi! Kama upo bongo basi utakuwa unamatatizo sana kazini kwako na huaminiki!
 
But ukiniletea mimi ofisini kwangu MBA or MSc ya Mzumbe also known as Voda fasta siwezi kukukosider kabisa kama mtu mwenye Masters.Nitakutupilia mbali!

Hapo kwenye nyekundu inaonyesha wewe mwenyewe si lolote na kama ni kazi labda unaendesha mradi wa baba yako. Binafsi nimefanya MBA Mzumbe na ninatoa huduma nzuri na watu wanakubali. Kwa kawaida chuo kinakupa mbinu siyo kwamba kuna chuo kinachokutafunia kila kitu maishani.
 

Mkuu samahani una maanisha Mzumbe ni bora kuliko University of Cape Town?
 
Acheni malumbano wote mko sahihi kabisa kulingana na mitazamo yenu,MBA itself is not an issue it is there and it is perfect ,the issue is how MBA is being delivered, which university tries to deliver MBA in effective and efficiency way? this is the basic question.Lengo la MBA ni decision making as a manager, Ngoja nitoe layman example ndo mnielewe MBA ya udsm ni general inatoa mult- knowledge /takataka zote IT,HR,procurement,uhasibu,logistics n.k baadae mwishoni una specialize sehemu zaidi, ni kama masomo saba ya o-level ndo maana inachukuwa muda mrefu pia ina ada kubwa,MBA ya mzumbe ni combination moja tu kati ya masoma saba eg HGL or PCM faster faster tu unajenga jina msomi
Definition of EFFECTIVENESS-doing(choose) right things. definition of EFFECIENCY-doing things right. However you have to be effective before being efficient.
 
Halafu ukirudi bongo wewe hautakaa kupata kazi! Kama upo bongo basi utakuwa unamatatizo sana kazini kwako na huaminiki!
nakuonea huruma, kwasababu mtu unayeongea naye alishasoma degree ya kwanza udsm, ya pili ulayaaa, nikarudi hapa, nikapata kazi nzuriiiiii, nikajenga nyumba kubwa mno kimara, na sasa nimeshamaliza kujenga lodge mbili,moja iko Kahama nyingine ipo Iringa...zote hizo zitakuwa na uwezo wa kuniingizia si chini ya laki mbili kila siku (kwa mbili ni laki nne kwa siku), achilia mbali mauzo ya vyakula kwenye lodge na vinywaji etc....sasa mwenzangu unaposema nikirudi sitapata kazi...nikirudi wapi aisee, na kazi gani ambayo unaongelea.....pole kama na voda fasta yako ya mzumbe haujapata kazi...ukija kwangu naweza kukuajiri kutandika na kufua mashuka kwenye lodge zangu....karibu.
 
icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....

Ndugu yangu Hute zama zile za kutengana na familia yako kwenda kulala chuoni kutafuta degree zimepitwa na wakati; inawezekana kabisa wewe hujui masomo ya online yanatolewaje. Kwanza nikuambie tuu ukisoma online uwezekano wa kufeli ni mkubwa kuliko ON CAMPUS kwa sababu online hakuna "Group work". Kila mwanafunzi anaandaa majibu ya "course work" yeye mwenyewe. ONCOMPUS kichwa kimoja kinaweza kubeba vichwa tisa.

ON CAMPUS "Intake" nzima inaweza kutumia kitabu kimoja "photocopying illegally" lakini ONLINE required reading book lazima ukinunue vinginevyo utakwama tuu. ONLINE course, wanatumia vitabu "latest editions" ambavyo hata hivyo vyuo unavyovihamu hawana
 

Ndugu yangu Hute sifa nyingine hazifai. Kama unaingiza TShs 400,000 kwa siku ni sawa na 146 million wewe katika watu wanaoendesha biashara ya "Lodge" na wewe umo? Sema unamiliki nyumba ya kulala wageni "Guest House"
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Hute sifa nyingine hazifai. Kama unaingiza TShs 400,000 kwa siku ni sawa na 146 million wewe katika watu wanaoendesha biashara ya "Lodge" na wewe umo? Sema unamiliki nyumba ya kulala wageni "Guest House"
si haba..actually nilikuwa namjibu yule anayesema nikirudi bongo nitahangaika kutafuta kazi..anaweza kuja nimwajiri hata kwenye what you call "guest house"...bora hata hiyo ninayo...namshukuru Mungu.
 
fisadi, mwizi, jangiri, muuaji wewe! ninyi ndiyo mnatakiwa kunyongwa kwa kuiibia nchi.
 
Kumbuka kuwa masters watu wanasoma kuongeza ujuzi si kutafutia ajira especially kwa MBAs.

Mimi nashangaa watu na tabia ya kusifia chuo ambacho mtu anachukua miaka 3 kumaliza MBA miaka 10 kumaliza PhD (kama atamaliza)

Yamemkuta dada yangu sasa hivi amekata tamaa na anajuta. Alisoma UD kuanzia degree ya kwanza, masters na sasa anafanya PhD. Alikuwa na option ya kusoma nje lakini sababu ya mishe mishe zake aka prefer kusoma UD; yani hata sikumbuki ameanza PhD lini na ananambia hajui lini atamaliza. Professor anachukua miezi sita kusoma kazi ya mwanafunzi. Afu mnajisifia mmesoma chuo kizuri kwa kuwa mnaenya na kuchukua 3 year kusoma MBA miaka ambayo ingetosha kufanya PhD kwenye chuo ambacho kina lecturers commited.
But ukiniletea mimi ofisini kwangu MBA or MSc ya Mzumbe also known as Voda fasta siwezi kukukosider kabisa kama mtu mwenye Masters.Nitakutupilia mbali!
 
ama kweli watz bado sn....kinachoangaliwa ni ufanisi wa kazi!haya mambo ya nimesoma UD cjui ulaya kwa ulimwengu wa ss yameshapitwa na wakati bandugu!,..yaani mtu kuisotea hyo shule ndo elim nzuri?tusidanganyane hapa!the issue is unacho deliver
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…