Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
samahanini wajameni, kama nimewaudhi, nimewaumiza mnisamehe, tatizo ni kwamba nimeongea moja kwa moja bila kuficha, yaani nimeongea kwa uwazi, nilitakiwa niongee kwa kufichaficha kwasababu humu ndani kuna wengine wenye degree za mzumbe voda fasta ningeweza kuwaumiza moyo....sitarudia kuwakwaza.....Sikujua mtu uliyepata exposure unaweza ukawa na hoja kama za mtoto wa darasa la pili. Pia sijui ulisoma UD zama za two universities in TZ? Siamini kwa graduate wa 2000's anaweza kuwa na mawazo kama yako zaidi katika free labour market na utandawazi.
Kwenye labour market ya sasa cha msingi ni nini unadeliver na si umegraduate wapi, Ukiingia kwenye usaili na ukaanza kujiploud na kidigree chako basing on your university utaonekana ni limbukeni.
Pia kumbuka kuna authorities zinazo fanyia tathmin mitaala na kuiaprove wakiwa na vigezo, sasa sijui wewe unatumia criteria gani.
Hata hivyo inawezekana umefanya research na ukabaini hayo uyasemayo, kwa faida ya wote NAKUOMBA utuwekee jamvini hiyo tafiti yako na methodologies ulizotumia. Kama ipo umefanya basi hata wahusika itawasaidia OTHERWISE utakuwa umelewa common au wanzuki na huko majuu utakuwa ulikuwa bize kubeba mabox
Nakushauri kama msomi utulie na ufanya critical analysis with a strong point na si poor analysis with weak point.
Nafikiri MZUMBE NI CHUO BOOORA, MPA CORPORATE MANAGEMENT YA MZUMBE NI BORA MARA MIA KULIKO ILE YA UDSM. na Mzumbe ni chuo bora kuliko vyuo vyote Tz na africa mashariki nzima. nawashauri watu wachague kusoma mzumbe badala ya vyuo vingine, kwasababu chuo hiki ni kizuri kitaaluma (hata kama kuna vodafasta) hakuna mfano...MZUMBE JUUUUUUUUUUUUUUUUUU