MBA - Internatinal Business ya IFM

MBA - Internatinal Business ya IFM

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Wadau,

IFM wanatoa MBA - IB kwa ushirikiano na Indian Institute of Foreign Trade. Nani anayefahamu kama digrii ya chuo hiki inatambuliwa na TCU. Nisije nikaingia mkenge....Pia nijuzeni kama kuna vyuo hapa TZ vinavyotoa nondo hiyo, asanteni kwa majibu yenye tija.....
 
Back
Top Bottom