wewe huwa unapona ila tu unaajiambukiza tena.Hbr za majukumu wadau,nimekuwa nikisumbuliwa sana na mba kichwani hata nywele zinapokuwa fupi nimehangaika kutafuta tiba bila mafanikio,naombeni Msaada na ushauri wenu
mafuta a breki ni mazuri mno jaribu utaondokana na shida hiyo.
Hayana madhara baadae, au side effect...maana hayajaandaliwa kwa matumizi ya Binadamu.mafuta a breki ni mazuri mno jaribu utaondokana na shida hiyo.
mba wa kichwani ni matokeo ya uchafu tuanzie hapo kama una mba wewe ni mchafu. ikubali kwanza iyo hali kisha anza upya nyoa nywele zote kisha usioge kichwani na sabuni ya kipande mfano; imperial ,protex, mo-soaps na sabuni zote zinazoacha mabaki kwenye matundu ya ngozi ya kichwa bali uoshe nywele na sabuni za maji alimahalufu shampoo hutajutia kwakufwata nilichokwambia nina miaka 3 sijawai pata mba wala kujikuna kichwaninaomba mtu anayejua mafuta yanayoondoa mba za kichwani
Mkuu kama hizo mba zimekuwa kubwa/sugu sana unaweza kutumia dawa ya vidonge inaitwa Gresiofulvin sambamba na dawa ya kupaka inayoitwa Whitefield. Lakini ningkushauri uonane na daktari kwanza ili akushauri kwanza kabla ya kuanza matibabu.Mkuu na mba za ngozi unaweza kutumia dawa gani?
Duh! hatari pia pole aiseNi kweli kabisa mkuu. Aina zote za vidonge nimezimaliza lakini bado ngoma ni bila bila!
Tunashukuru chief kwa mrejesho huu, maana si mchezo uzi tangu 2013 suruhisho umepata 2018 lakini hukuchoka kutupa mrejesho kwasababu ni kweli tunasumbuliwa wengi na tatizo hiloWakuu, dawa za ukweli za mba ni hizo nilizoweka hapo juu: Terbifin na Beprosalic ointment. Baada ya kusumbuka kwa miaka mingi, dawa hizo zilinipa suluhisho.
Asante kwa shukrani mkuu. Dawa hizi lazima ziende sambamba maana moja inadhibiti ndani na nyingine inadhibiti nje ya mwili.Tunashukuru chief kwa mrejesho huu, maana si mchezo uzi tangu 2013 suruhisho umepata 2018 lakini hukuchoka kutupa mrejesho kwasababu ni kweli tunasumbuliwa wengi na tatizo hilo
Na vipi hizi dawa lazima zitumiwe kwa pamoja au unaweza tumia mojawapo? Natanguliza shukrani zangu
Ndugu yangu hiyo dozi ulitumia kwa muda gani? Mie nimetumia siku 20 lakini hakuna nafuu. Naomba muungozo ndugu yangu japo kuwa dawa zenyewe bei kweli kweliMkuu kama hizo mba zimekuwa kubwa/sugu sana unaweza kutumia dawa ya vidonge inaitwa Gresiofulvin sambamba na dawa ya kupaka inayoitwa Whitefield. Lakini ningkushauri uonane na daktari kwanza ili akushauri kwanza kabla ya kuanza matibabu.
Hapo sasa itakubidi umuone daktari bingwa wa ngozi mkuu. Kama upo Dar nenda pale Aghakan Hospital ukamuone Profesa Mgonda atakusaidia mkuu.