Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Mba ni seli za ngozi zilokufa. Kama Ni mpenzi wa vipodozi asilia, nicheki kwa 0713039875 nikupe shampoo asilia ,tatizo lako liishe Kama wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukran mkuuTumia sabuni ya detol au yeyote medicated kali then paka mafuta ya mba kama radiant
product ipo madukani?Niliteseka na tatizo kama hilo nimetumia shampoo ya grace products baada ya siku 5 tatizo kwishnei
lets try boss inaitwaje niitafute...Mimi nilisumbuliwa sana na mba,kuna mtu aliniuzia dawa nikawa naitumia kupaka kichwani sasa nimepona
Tatizo la dawa za mba inaweza ikatibu kwangu kwako isitibu.
pamoja boss ntakuchekiMba Ni seli za ngozi zilokufa. Kama Ni mpenzi wa vipodozi asilia, nicheki kwa 0713039875 nikupe shampoo asilia ,tatizo lako liishe Kama wengine
Kama hapo ulipo unaweza kupata shampoo ya "Head and Shoulders" iliyoandikwa anti dundruf utasahau tatizo ndani ya wiki tu.Habari zenu wandugu JF, poleni kwa uchovu wa siku mpya ya maombolezo!
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu, nasumbuliwa sana na mba kichwani ambao unatoka kma ungaunga kila napochana nywele, sasa hvi imefikia kiasi kwamba nikichana tu unamwagika nakuwa kama nimemwagiwa poda au sembe kichwani.
Tatizo hili ni la muda kidogo na linanifanya niwe nanyoa kila baada ya mwezi.
Note: nikipaka mafuta mikono yote sku hyo inahamia kichwani kwa kujikuna
Virgin ndiyo bidhaa gani hiyo mkuu?Tumia virgin, imesaidia wengi mimi mmoja wao
Hii post yako inatusaidia niniMimi nilisumbuliwa sana na mba, kuna mtu aliniuzia dawa nikawa naitumia kupaka kichwani sasa nimepona
Tatizo la dawa za mba inaweza ikatibu kwangu kwako isitibu.
Tena liwe dongo haswaaaaa.Sijaiona tiba isiyo na gharama kama hii, labda Tshs200/= ya wembe tu.
Ni kwa kunyoa kipara ngoto mfululizo hata mwezi mzima hadi waishe.
Hiyo ndiyo njia rahisi ya kufukuzia hao mba sugu kuliko njia zingine ambazo huchelewesha na sazingine kudunda.
Mkuu hii dawa Terbifin unaweza kunisaidia prescription yake ili niitafute pharmacy? ...nielewe tu ni 1 X ngapi au 2 X ngapiWakuu, dawa za ukweli za mba ni hizo nilizoweka hapo juu: Terbifin na Beprosalic ointment. Baada ya kusumbuka kwa miaka mingi, dawa hizo zilinipa suluhisho.
Mkuu hizo dawa zote kama ukizinunua duka la dawa utapata prescription kulingana na ukubwa wa tatizo lako. Na hiyo dawa ya kupaka unaweza kupaka sehemu yoyote ya mwili mkuu.Mkuu hii dawa Terbifin unaweza kunisaidia prescription yake ili niitafute pharmacy? ...nielewe tu ni 1 X ngapi au 2 X ngapi
Na hiyo Beprosalic ointment unaweza kuipaka kichwani? Ama ni mwilini tu? Maana nina MBA za kichwani na mabegani.
Ni miaka 20 sasa nasumbuliwa na MBA,
Nimeshatumia, Ketoconazole,griseofulvin,diproson, movit, mafuta ya break na takataka zote uzijuazo lakini wapi kaka!
Ntashukuru kwa msaada wako
Shukrani sana kaka, naelekea pharmacyMkuu hizo dawa zote kama ukizinunua duka la dawa utapata prescription kulingana na ukubwa wa tatizo lako. Na hiyo dawa ya kupaka unaweza kupaka sehemu yoyote ya mwili mkuu.
Nimezitafuta Leo, nimepata moja tu kwenye pharmacy kubwa za hapa nilipo... nimeipata hiyo ya vidonge tu ( Terbifin-250Mkuu hizo dawa zote kama ukizinunua duka la dawa utapata prescription kulingana na ukubwa wa tatizo lako. Na hiyo dawa ya kupaka unaweza kupaka sehemu yoyote ya mwili mkuu.
Mkuu hiyo Beprosalic ni ointment. Unaweza kutumia hata cream kama umekosa ointment. Hii ni dawa kubwa inapatikana kwenye pharmacy na hospitali kubwa tu.Nimezitafuta Leo, nimepata moja tu kwenye pharmacy kubwa za hapa nilipo... nimeipata hiyo ya vidonge tu ( Terbifin-250
Hiyo beprosalic haipo kabisa!!! Sijui ndio moja ya zile dawa muhimu na maalum ambazo hazipatikani kirahisi?!
Hakuna cream mbadala/beprosalic substitute nayoweza kuipata ya kupaka nitumie na hivi vidonge mkuu!?