Mba kwenye ngozi ya kichwa na ngozi ya mwili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363



TIBA YA Mba kichwani, lakini nimeona ni vema nikaongelea pia na ngozi nyingine mwilini.

Yeyote mwenye kusumbuliwa na mba, ukiweza kupata ALOE VERA PLANT (pichani), ondoa miba, menya ganda kisha pakaa ule ute wake (gel) kwenye ngozi, fanya hilo zoezi kila siku asubuhi na jioni. Mba utaisha kabisa na pia utakuwa umejikinga kwa baadae na uvamizi huo.

NYONGEZA: Ukichanganya na mafuta ya mzeituni utapata matokeo mazuri sana. Mzeituni ni mafuta mazuri sana kwa ngozi na hayajawekwa kemikali

MBA KICHWANI: ngozi ikivutwa hasa kutokana na kusuka husababisha muwasho, kwa hiyo pakaa mzeituni, pakaa ALOE VERA gel

WAKAZI WA DAR: Anayehitaji ALOE VERA FRESH (jani) tuwasiliane mapema - 0715 594 564
 
MBA KICHWANI. ( DANDRUFF.)

Kitunguu Somu na siki ya tufaha (apple).



kitunguu Somu 3 vikubwa


siki ya tufaha (apple cedar).700ml


Ponda vizuri vitunguu Somu tia kwenye siki, koroga vizuri tia kwenye chupa ya bilauri (si plastik) weka

kwenye mwanga wa jua muda wa wiki 1.


Matumizi:

Utajipaka kichwani huku ukisugua mara1 kila siku kwa muda wiki 1, baadae utatumia kujipaka mafuta ya zeituni (olive oil), kwa muda wa wiki 1.
 
Fluconazole 1tab in alternative days 14/7 umemaliza tatizo mzizimkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…