Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
TIBA YA Mba kichwani, lakini nimeona ni vema nikaongelea pia na ngozi nyingine mwilini.
Yeyote mwenye kusumbuliwa na mba, ukiweza kupata ALOE VERA PLANT (pichani), ondoa miba, menya ganda kisha pakaa ule ute wake (gel) kwenye ngozi, fanya hilo zoezi kila siku asubuhi na jioni. Mba utaisha kabisa na pia utakuwa umejikinga kwa baadae na uvamizi huo.
NYONGEZA: Ukichanganya na mafuta ya mzeituni utapata matokeo mazuri sana. Mzeituni ni mafuta mazuri sana kwa ngozi na hayajawekwa kemikali
MBA KICHWANI: ngozi ikivutwa hasa kutokana na kusuka husababisha muwasho, kwa hiyo pakaa mzeituni, pakaa ALOE VERA gel
WAKAZI WA DAR: Anayehitaji ALOE VERA FRESH (jani) tuwasiliane mapema - 0715 594 564