Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Habari zenu wandugu,
Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara naombeni mawazo yenu ndugu zangu kwa ambaye amewahi kupitia hili tatizo alitumia tiba gani.
Ahsanteni.