Mba kwenye uume tiba yake ni nini?

Mba kwenye uume tiba yake ni nini?

Meja mstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
531
Reaction score
1,121
Habari zenu wandugu,

Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara naombeni mawazo yenu ndugu zangu kwa ambaye amewahi kupitia hili tatizo alitumia tiba gani.

Ahsanteni.
 
Habari zenu wandugu,

Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara. Naombeni mawazo yenu ndugu zangu kwa ambaye amewahi kupitia hili tatizo alitumia tiba gani.

Ahsanteni.
Yaani mba upo kwenye uume kabisa?? Kwenye kichwa cha uume au uume wote una mba??
 
Habari zenu wandugu,

Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara. Naombeni mawazo yenu ndugu zangu kwa ambaye amewahi kupitia hili tatizo alitumia tiba gani.

Ahsanteni.
Paka moto
 
Kama ni tatizo la muda mrefu tumia cream yenye steroid lakini kwa wiki mbili tu, kama hakuna matokeo muone daktari akubadilishie dawa. Steroid cream inasababisha ngozi kuwa nyembamba ikitumiwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom