Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Yaani mba upo kwenye uume kabisa?? Kwenye kichwa cha uume au uume wote una mba??Habari zenu wandugu,
Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara. Naombeni mawazo yenu ndugu zangu kwa ambaye amewahi kupitia hili tatizo alitumia tiba gani.
Ahsanteni.
Uume woteYaani mba upo kwenye uume kabisa?? Kwenye kichwa cha uume au uume wote una mba??
dah!Picha..
Paka motoHabari zenu wandugu,
Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara. Naombeni mawazo yenu ndugu zangu kwa ambaye amewahi kupitia hili tatizo alitumia tiba gani.
Ahsanteni.
Sijakuelewa.Paka moto
Duuh!! Uligegeda bint mwenye papuchi ilojaa magonjwa bila shaka, wahi hospital haraka mno!!Uume wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha..