Mba tumaini iringa inatia aibu


Mh.Tiba kama ilivyo CCM na mafisadi wao, CDM na wanyonge wao, basi elewa Tumaini na wagalatia wao. Hi ndo tanzania bwana.
 



mimi ni mmojawapo.nimemaliza hapo mba makambako brach now nasoma llm-udsm. Mba yao haina maana naona aibu. Nakumbuka kuna watu hawajawahi kuingia class, walilipa fee tu then wakapotea for 18 months, cha ajabu tulikuja kuwaona siku ya graduation, na hakuna hata mmoja aliyepata b plain.
Naomba tcu walifanyie kazi jambo hili linaumiza sana ukiwa kweli umeenda kwa nia ya kupata elimu.
 
Ila inasemekana hapo Tumaini ni baadhi ya vitivo ni wababaishaji. Nasikia kuna wengine ni full msuli na wanachukiwa na kila mtu mtu
 
M2 wangu ukienda sokoni (STREET) ndo utagundua ubaya wake.

Ni kweli Kanchi, wapo ambao yamewakuta tayari. Kuna mmoja yupo Sabastian Kolowa as tutorial assistance alimaliza hiki chuo LLB,then aakunga MBA hapo hapo tumaini. Yaliyomkuta huko kazini anayajua mwenyewe. Sasa anasoma LLM st augustine.
Mimi ni mwanafunzi hapa tumaini iringa,huwa najiuliza kwanini applicants wengi wa hii MBA ni graduate wa law na hasa wa hapa hapa tumaini? :lol::lol::lol::lol::lol: .Fanyeni uchunguzi wenu
 
tumaini??? wanatoa mba nao, mi nilifikiri wanatoa diploma tuu.

mba soma UDSM, SUA, baaasi hakuna MBA NYINGINE HAPA TANZANIA...hata huko mzumbe, OPEN uongo mtupu

kweli kabisa bravo!
 
 
 
kweli ukikutana na wanafunzi wa sheria Tumaini na Matawi yake yote.reasoning pooooooooooooooor.wanamaliza semister blia coz work.mtajuuuuuuuuuuuta kusomea huko.uptitude test zita watoa nockout.
 
Mengi yaliyosemwa hapa yametiliwa chumvi, japo chuo kinampungufu yake lakini siyo kwa kiwango kinachoelezwa humu.
Mimi nimesoma shahada yangu ya kwanza UDSM, najua pale zipo degree za chupi na za pochi pia. Lakini zipo za usongo
Pia nimefanya MBA yangu Tumaini Iringa, hakuna tofauti na mlimani(UDSM), Msitake watu waone kuwa UDSM kumejaa
malaika na Tumaini mashetani. Wengine mnaingia katika mkumbo wa kukipiga vita chuo binafsi ambacho kimekuja kuondoa
ukiritimba wa mlimani(UDSM). Kuna kipindi waalimu pale udsm walikuwa kama vile miungu watu, mfano jamaa yangu mmoja
anaitwa Upendo ni mwanaume, alipewa low marks baadaye mwalimu alipokuja kubaini kuwa alikuwa ni mwanaume alimpa
pole na kumwambia kuwa jina lake lilimponza, kisha akrudia kusahihisha paper yake akamuongezea alama na kuondokana na supp.
Zipo hadithi nyingi chafu za kila chuo na zina ushahidi tele, hakuna kilicho kitakatifu tusidanganyane...kama kesi ya huyo mnyaruanda ni ya kweli itashughulikiwa, asihukumiwe kila aliyesoma Tumaini-Iringa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…