Mba tumaini iringa inatia aibu

Mba tumaini iringa inatia aibu

Hizi allegations kama ni za kweli huyo mkuu wa KKKT itabidi atoe maelezo ya kina ni kwa nini hali iko hivyo. Lakini kwa Dayosisi ya Iringa nasikia huyo Askofu wa huko anaogopwa kama nini na hata mkuu wa Kanisa hawezi kumuuliza chochote.

Hata hivyo nashukuru kwa hii alert kwani yeyote atakaye kuja na vyeti vya Tumaini University mbele yangu, kazi hapati!!!!!

Tiba

Mh.Tiba kama ilivyo CCM na mafisadi wao, CDM na wanyonge wao, basi elewa Tumaini na wagalatia wao. Hi ndo tanzania bwana.
 
ufundishaji wa masters of business administration(mba),tumaini university unatia aibu sana. Utakuta mwanafunzi hana uwezo wa mathematics, alikotoka kote masomo ya mathematics kapata "f" a.k.a mswaki, lakini akijiunga mba tumaini university-iringa ana graduate akiwa na "a" kwenye masomo yote involving mathematics.
Ikiwa basic mathematics e.g jumlisha na kutoa decimal places mtu hawezi.. Inakuaje apate "a" ya 96% ya financial management?
95% ya quantitative mathematics? The same student anakiri wazi kuwa yeye hana uwezo na masomo hayo,sasa hizi "a" zinatoka wapi? Wapo waliomaliza mba then hapo hapo wanaamua kusoma masterz ya community development the same university,ukiwauliza y,kwanini... Wanakuambia mba tumechakachuliwa.....,tuna vyeti without knowledge.

Tumaini inatupeleka wapi watanganyika?

Wahusika tunaomba mjirekebishe, hata kama ni biashara tangulizeni na uzalendo kwa taifa.

mimi ni mmojawapo.nimemaliza hapo mba makambako brach now nasoma llm-udsm. Mba yao haina maana naona aibu. Nakumbuka kuna watu hawajawahi kuingia class, walilipa fee tu then wakapotea for 18 months, cha ajabu tulikuja kuwaona siku ya graduation, na hakuna hata mmoja aliyepata b plain.
Naomba tcu walifanyie kazi jambo hili linaumiza sana ukiwa kweli umeenda kwa nia ya kupata elimu.
 
Ila inasemekana hapo Tumaini ni baadhi ya vitivo ni wababaishaji. Nasikia kuna wengine ni full msuli na wanachukiwa na kila mtu mtu
 
M2 wangu ukienda sokoni (STREET) ndo utagundua ubaya wake.

Ni kweli Kanchi, wapo ambao yamewakuta tayari. Kuna mmoja yupo Sabastian Kolowa as tutorial assistance alimaliza hiki chuo LLB,then aakunga MBA hapo hapo tumaini. Yaliyomkuta huko kazini anayajua mwenyewe. Sasa anasoma LLM st augustine.
Mimi ni mwanafunzi hapa tumaini iringa,huwa najiuliza kwanini applicants wengi wa hii MBA ni graduate wa law na hasa wa hapa hapa tumaini? :lol::lol::lol::lol::lol: .Fanyeni uchunguzi wenu
 
tumaini??? wanatoa mba nao, mi nilifikiri wanatoa diploma tuu.

mba soma UDSM, SUA, baaasi hakuna MBA NYINGINE HAPA TANZANIA...hata huko mzumbe, OPEN uongo mtupu

kweli kabisa bravo!
 
Ufundishaji wa Masters of Business Administration(MBA),Tumaini University unatia aibu sana. Utakuta mwanafunzi hana uwezo wa mathematics, alikotoka kote masomo ya mathematics kapata "F" a.k.a mswaki, lakini akijiunga MBA Tumaini University-Iringa ana graduate akiwa na "A" kwenye masomo yote involving mathematics.
Ikiwa Basic mathematics e.g jumlisha na kutoa decimal places mtu hawezi.. inakuaje apate "A" ya 96% ya financial management?
95% ya Quantitative mathematics? the same student anakiri wazi kuwa yeye hana uwezo na masomo hayo,sasa hizi "A" zinatoka wapi? Wapo waliomaliza MBA then hapo hapo wanaamua kusoma masterz ya Community Development the same university,ukiwauliza y,kwanini... wanakuambia MBA tumechakachuliwa.....,tuna vyeti without knowledge.

Tumaini inatupeleka wapi watanganyika?

Wahusika tunaomba mjirekebishe, hata kama ni biashara tangulizeni na uzalendo kwa taifa.[/QUOTE]

YAH: TAARIFA SAHIHI NDUGU KASUKU

Matatizo haya inawezekana yalikuwepo kipindi cha miaka ya nyuma kituo ulichosoma wewe,by then makambako centre ambacho kwa sasa uongozi wa chuo umekifunga, au wewe ndo ulisadiwa hivyo. Hivyo madai yako siyo sahihi hata kidogo. Tumaini ina vituo viwili kwa ajili ya masters program, Main campus(iringa) and Mbeya town,. Uongozi wa chuo ulishachukua hatua sahihi kufunga center ya makambako na hakuna tena hilo jambo. Inaonekana una chuki binafsi na mtu hasa baada ya kuondolewa kazi hapo chuoni kama part-timer lecturer na biashara yako iringa town(grosary) kuanza kusuasua. Naamini kabisa we ni mmoja wapo wa walimu waliondolewa hapo chuoni kwa kukosa maadili na sasa unaedekeza majungu.
Tumaini iringa graduates kwa sasa wapo sokoni na ni viwango sahihi,mfano: walimu wengi wa vyuo vya serikali like SOKOINE,DODOMA,MZUMBE,UDSM wapo waliotoka Tumaini iringa. etc
Tumaini ipo leo, itakuwepo kesho na hata milele.
Sifa na utukufu apewe bwana aliyekiunda chuo.

Haleluya
 
narudia kusema tena,masters yoyote ya tumain ni sawa na form 6 ya ilboru secondary.
 
kweli ukikutana na wanafunzi wa sheria Tumaini na Matawi yake yote.reasoning pooooooooooooooor.wanamaliza semister blia coz work.mtajuuuuuuuuuuuta kusomea huko.uptitude test zita watoa nockout.
 
Mengi yaliyosemwa hapa yametiliwa chumvi, japo chuo kinampungufu yake lakini siyo kwa kiwango kinachoelezwa humu.
Mimi nimesoma shahada yangu ya kwanza UDSM, najua pale zipo degree za chupi na za pochi pia. Lakini zipo za usongo
Pia nimefanya MBA yangu Tumaini Iringa, hakuna tofauti na mlimani(UDSM), Msitake watu waone kuwa UDSM kumejaa
malaika na Tumaini mashetani. Wengine mnaingia katika mkumbo wa kukipiga vita chuo binafsi ambacho kimekuja kuondoa
ukiritimba wa mlimani(UDSM). Kuna kipindi waalimu pale udsm walikuwa kama vile miungu watu, mfano jamaa yangu mmoja
anaitwa Upendo ni mwanaume, alipewa low marks baadaye mwalimu alipokuja kubaini kuwa alikuwa ni mwanaume alimpa
pole na kumwambia kuwa jina lake lilimponza, kisha akrudia kusahihisha paper yake akamuongezea alama na kuondokana na supp.
Zipo hadithi nyingi chafu za kila chuo na zina ushahidi tele, hakuna kilicho kitakatifu tusidanganyane...kama kesi ya huyo mnyaruanda ni ya kweli itashughulikiwa, asihukumiwe kila aliyesoma Tumaini-Iringa.
 
Back
Top Bottom