GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama ni huyo (Ami) mnamuonea aisee maana alikuwa yuko vizuri sana kwenye QM nalikuwa hakamati ovyo. Watoto siku hizi ndo vilaza.
Sasa kama majitu ni mavilaza yasikamatwe?
Watu wanaenda kufanya mapenzi chuoni badala ya kusoma kwanini wasikamatwe??? Watakula huo UZINZI maisha yaliyobaki.
Any class with a failure rate more than half has some systemic issues. It's simply against the rules of simple statistics for a class with no systemic issue to have a higher failure rate. Either the admitted are not meeting the requirements or the marking style is impossibly stingy. It is also possible that there is no system at all and everything is arbitrary and decided on the fly with the mistaken academic sado masochism that a higher failure rate represents better education.
Lecturer ambaye darasa lake linafelisha watu wote hao anatakiwa kufukuzwa kazi.
Kwa kushindwa kufundisha, ama kwa kushindwa kujua mapema kwamba wanafunzi hawafundishiki na kuendelea kupoteza muda tu.

kwani maexternal ndo hawana njaa????
UDOM chuo cha kata
At least CHUO kinaanza kuwa na sifa stahik sasa maana mlikuwa mnasema cha kata