Habari zenu wanajamvi...heri ya Pasaka kwenu wote!
Leo napanda jukwaani nikiwa na shauku ya kujua,ipi iko vizuri kwa soko letu la ajira la tz...Master ya Business Administration au Master ya Business Management?
Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Kama unataka kuwa manager nadhani MBM ni njema, ila kama unatakuwa expert katika utawala wa biashara nadhani MBA ni njema. Kuna tofauti kati ya Administration and Management.