MBA vs MBM

MBA vs MBM

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Habari zenu wanajamvi...heri ya Pasaka kwenu wote!
Leo napanda jukwaani nikiwa na shauku ya kujua,ipi iko vizuri kwa soko letu la ajira la tz...Master ya Business Administration au Master ya Business Management?
Natanguliza shukrani zangu kwenu!
 
Kama unataka kuwa manager nadhani MBM ni njema, ila kama unatakuwa expert katika utawala wa biashara nadhani MBA ni njema. Kuna tofauti kati ya Administration and Management.
 
Habari zenu wanajamvi...heri ya Pasaka kwenu wote!
Leo napanda jukwaani nikiwa na shauku ya kujua,ipi iko vizuri kwa soko letu la ajira la tz...Master ya Business Administration au Master ya Business Management?
Natanguliza shukrani zangu kwenu!

Ukienda kwa mtazamo wa ajira, itakula kwako labda kuna wakukupigia debe. Ila kama ni kapuku kama mimi Kasome unachokipenda kukifanya kwenye life lako.
 
Back
Top Bottom