Mbabe Gattuso apewa mikoba AC MILAN

Mbabe Gattuso apewa mikoba AC MILAN

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Timu ya Serie A ya AC MILAN imemtimua kocha wake Vicenzo Montella na kumpa kazi hiyo Mchezaji wake wa zamani , Mcheza rafu Genaro Gattuso.

Hebu pata picha jinsi AC MILAN itakavyocheza .

Ni vigezo gani hawa matajiri wanatumia kumpatia kazi ya ukocha mtu kama huyu ?
 
Alimpiga Makofi Makofi Msaidizi Wake Kwa Kumcheleweshea Kumpa Stop Watch tu!
Je Mchezaji Akijasababisha Penalt na Kufungwa Game si atamuacha Air Port na Kumkata Mshahara???
 
Atatimuliwa soon tu! Gattuso & Seedorf walikuwa wazuri kucheza si kufundisha soka

Mimi siwezi Kucomment Juu ya Mustakbali Wake Kwani Hata Zedane Tulisema Hapa hapa JF kuwa Hatmaliza Hata Msimu mmoja...

Huyo yatamshinda kama yalivyomshinda Seedorf alivyopewa hiyo timu. Kwanini hawakumpa Luis Henric?
 
Gattuso alikuwa ni kocha wa vijana Ac Milan kwahiyo ni kama amepandishwa tuu daraja,sasa kama vigezo kigezo mojawapo ni hiko wameangalia ubunifu wake na uongozi wake akiwa kocha katika timu hiyo ya vijana.
 
Back
Top Bottom