Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Mechii 12 bila kupoteza kumenishtua sanaaKabisa mkuu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechii 12 bila kupoteza kumenishtua sanaaKabisa mkuu .
Nimeshangaa sana !Tangu jamaa aichukue AC milan sasa hivi inagonga mpira si mchezo.....
Nahisi safari hii wakikutana na juventus lazma wakae....
Naiona AC milan kurudisha makali yake ya nyuma...
Mimi pia nilishangaa why huyu mtukutu kakabidhiwa timu kubwa kama ile....Nimeshangaa sana !
Kama uliangalia mechi yao ya jpili nahisi ushagunndua Gattuso kaamua timu yake yote ni roho mbaya tuTangu jamaa aichukue AC milan sasa hivi inagonga mpira si mchezo.....
Nahisi safari hii wakikutana na juventus lazma wakae....
Naiona AC milan kurudisha makali yake ya nyuma...
Yaani timu inayokutana nayo inakua na kazi mbili kwanza kudili na Gattuso pili kuwa makini na wale masela wake uwanjaniiiMimi pia nilishangaa why huyu mtukutu kakabidhiwa timu kubwa kama ile....
Mwanzo alikuwa akisusua sua sana ila michezo ya hivi karibuni alizinduka kutoka usingizini alikuwa anatoa dozi kwelikweli na juzi alivyomfunga As Roma nilishangaa sana.....
A.S Roma alikuwa anakula goli nne ile mechi sema umakini ulikosekana kwa baadhi ya nafasi walizotengeneza. Leo tena wanaingia uwanjani kupigania nafasi mojawapo ya kucheza champions league msimu ujao. Ni mechi ya nusu fainali ya copa italy dhidi ya Lazio ikiwa ni mchezo wa marudiano.Kama uliangalia mechi yao ya jpili nahisi ushagunndua Gattuso kaamua timu yake yote ni roho mbaya tu
Kiukweli siku hizi sichoki kuwafatilia mechi zaoA.S Roma alikuwa anakula goli nne ile mechi sema umakini ulikosekana kwa baadhi ya nafasi walizotengeneza. Leo tena wanaingia uwanjani kupigania nafasi mojawapo ya kucheza champions league msimu ujao. Ni mechi ya nusu fainali ya copa italy dhidi ya Lazio ikiwa ni mchezo wa marudiano.
ila ana ratiba ngumu sana kwanzia atoke kwa Roma, leo anacheza mechi muhimu sana dhidi ya lazio anahitaji droo ya magoli au ushindi. Wikiendi ana mechi ya ligi dhidi ya inter milan. Baada ya hapo ana mechi dhidi ya arsenal katika europa leagueKiukweli siku hizi sichoki kuwafatilia mechi zao
fikiria leo Ac milan akutane na madrid halafu ronaldo awe uwanjani sijui gattuso atawaza nini
ila ana ratiba ngumu sana kwanzia atoke kwa Roma, leo anacheza mechi muhimu sana dhidi ya lazio anahitaji droo ya magoli au ushindi. Wikiendi ana mechi ya ligi dhidi ya inter milan. Baada ya hapo ana mechi dhidi ya arsenal katika europa league
Huku wakiwa na kumbukumbu mbaya sana dhidi ya lazio. Wamepoteza super cup na pia wamefungwa mzunguko wa kwanza wa ligi dhidi ya hao hao Lazio tena Juve wakiwa nyumbani kwaoWanaume Juve anasubiri mshindi wa leo wakutane final...
Final copa Italy: Juventus vs Ac milan.Wanaume Juve anasubiri mshindi wa leo wakutane final...
Final copa Italy: Juventus vs Ac milan.
Ac milan wameingia fainali kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka sare 0-0 hadi dakika 120. Kalinic ndiye mchezaji aliyeupeleka mchezo huo hadi kwenye penati kutokana na kukosa nafasi ya wazi kabisa ya kuifanya Milan imalize mchezo. Pongezi tena kwa Gatuso kwa kuendeleza ushindi