Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatariii !!!Huyo jamaa atawachapa makofi wachezaji wakikosea kufuata maelekezo
Nimecheka sana !Mimi Namshauri Akamsajili Balotelli huenda Wakelewana..
Hahaha... Hiyo Milan derby itakuwa ni burudani tu kwanzia benchi.Nashauri na Intermilan Wampe Materrazi
Nimecheka sana !
Atatimuliwa soon tu! Gattuso & Seedorf walikuwa wazuri kucheza si kufundisha soka
Huyo yatamshinda kama yalivyomshinda Seedorf alivyopewa hiyo timu. Kwanini hawakumpa Luis Henric?
Hahaha... Hiyo Milan derby itakuwa ni burudani tu kwanzia benchi.
Halafu Real Madrid na Inter wakutane [emoji1]Nashauri na Intermilan Wampe Materrazi
Naona Ac Milan management yao haiko serious kubaki ktk top level, hawaitendei haki historia yao.Huyo yatamshinda kama yalivyomshinda Seedorf alivyopewa hiyo timu. Kwanini hawakumpa Luis Henric?
Kabisa mkuu .Naona Ac Milan management yao haiko serious kubaki ktk top level, hawaitendei haki historia yao.
Mkuu unayakumbuka haya maneno yako na anachokifanya mbabe Gattuso ....Naona Ac Milan management yao haiko serious kubaki ktk top level, hawaitendei haki historia yao.