Usiku kashindaa... naona Gattuso ashawamezesha uroho mbayaila ana ratiba ngumu sana kwanzia atoke kwa Roma, leo anacheza mechi muhimu sana dhidi ya lazio anahitaji droo ya magoli au ushindi. Wikiendi ana mechi ya ligi dhidi ya inter milan. Baada ya hapo ana mechi dhidi ya arsenal katika europa league
Sana make AC Milan ilikuwa ishapoteza ramani make alivopewa kamanda Gattuso wengi tulishangaaKufika tu fainali kwa Gatuso ni mafanikio makubwa sana! Ameleta morali ya hali ya juu katika timu
Juve anabeba ndoo hapo.
Sana make AC Milan ilikuwa ishapoteza ramani make alivopewa kamanda Gattuso wengi tulishangaa
Hatarii....ya jana hope ilikuwa ya 13Tulimdharau sana.ona sasa mambo anayofanya, amecheza mechi 12 bila kufungwa
Hatarii....ya jana hope ilikuwa ya 13