Matrubo mengi hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee lexus anzia 2013 zinatulia mno kama mjerumani! Zina Quick Braking na anti-roll bars so zinatulia sana!Ufike hiyo speed ukiwa na gari za japan ndo unabip kifo.
Ukiwa na german cars huoni hata umeshafika huko. Gari inakuwa stable, inashika barabara.
Ukigusa kidogo speed ishafika 220 to 240 kph.
Ila usijaribu na hizi gari za macho madogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah subaru ni gari za wavaa vinjunga waliograduate toka kwenye ist na altezzaKwahiyo SUBARU tumepigwa? Maana sioni hata model moja..na ile CROWN na BREVIS vp?
Yeah kwenye economy atleast hybrids ziko bombaPa1 mkuu,ila vvt-i ya toyota ya cc 3000 bado ulaji wake unakua mkubwa kwa europe car ya cc 3000,toyota tunazpenda ila zinatunyoosha sana kwenye upande wa wese,toyota ukitaka economy basi ujilipue na vibaby walker
Kwa stock ukiachana na WRX STi, zilizobaki zote hamna kitu[emoji16][emoji16][emoji16]Mbona sizioni subaru..au zile ni kelele tu
[emoji3][emoji3][emoji3]et kwenye noahCelebrities bongo tunapambana nao kwenye noah halafu mtu anadai humuwez kipesa
Kama kuna barabara ya kuanzia manyoni via tabora mpaka nzega hamna vya tuta wala bamzi wala traffic unamaliza spidi zoteNoma sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hahahah subaru ni gari za wavaa vinjunga waliograduate toka kwenye ist na altezza
Babu hybrids za toyota bei yake europe car ikasomeYeah kwenye economy atleast hybrids ziko bomba
ππππππ hazinunuliki auBabu hybrids za toyota bei yake europe car ikasome
GX 110 muundo wake kwa nje auvutii ila kwa ndani kuna kacomfy flan na halafu kwenye mwendo pia si haba sanaNdio maana nilitangulia kusema kama ishu ni nani awahi kufika basi mjue tu kinachomata ni dereva! Mara nyingi barabara ambazo mjerumani atatamba ni ambazo hazina mazonge yani njia iwe mnyooko tu wa hatariπ ila ukabidhiwe LC300 VX-R 410HP halafu sijui mwengine ana BMW X5 kwa njia zetu za bongo kipigo kinaweza kikahusika vyema tu.
Sababu under traffic conditions za kibongo ambaye mzoefu zaidi wa barabara atatangulia hata kama ana GX110 tu π π π
Mie mwenyewe hunichapi kizembe yani nikiwa na mashine inayoeleweka! Yani uwe na 2GR halafu 300HP plus kuna gari gani itakusumbua hapo highway! Ukiupata mnyooko wa bagamoyo tu ni maangamizi yani una weave ile kiroho mbaya dakk 0 umechomeka na kurudi site yako! Yani nikifloor pedal rpm 7 ikivuta ikaachia mzee niko gari ya 3 mbele dkk 0 tu!
Unavyosema mbabe wa barabarani you mean both off road na town roads.Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama WA barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani
Kwangu Mimi hata BMW 320i inamkalisha nissan fugaMbali sana huko. 540 kwote uko? 520 tu inamtosha, tena hauna haja ya xDrive.
Hahaha nimekosa Fuga GT250 vs 320 ila nimeipata ya GT250 2004 vs 325i 2005.Kwangu Mimi hata BMW 320i inamkalisha nissan fuga
Inanunulika ila parefu kidogoππππππ hazinunuliki au
Kwa wabongo jauInanunulika ila parefu kidogo
Jau lenyewe si la kitoto,harrier ya 2006 bongo tunaiita new model na bei yake imesimama hasa while kwa wenzetu huko ni scrap!Kwa wabongo jau
Labda Fuga amalize 180kph yake wewe ndio uendelee kutokea hapo!Kwangu Mimi hata BMW 320i inamkalisha nissan fuga
Nissani fuga GT450 sio mziki WA kawaida kwanza injini yake ni V8Kwangu Mimi hata BMW 320i inamkalisha nissan fuga