Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Ufike hiyo speed ukiwa na gari za japan ndo unabip kifo.

Ukiwa na german cars huoni hata umeshafika huko. Gari inakuwa stable, inashika barabara.

Ukigusa kidogo speed ishafika 220 to 240 kph.

Ila usijaribu na hizi gari za macho madogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee lexus anzia 2013 zinatulia mno kama mjerumani! Zina Quick Braking na anti-roll bars so zinatulia sana!
 
Ndio maana nilitangulia kusema kama ishu ni nani awahi kufika basi mjue tu kinachomata ni dereva! Mara nyingi barabara ambazo mjerumani atatamba ni ambazo hazina mazonge yani njia iwe mnyooko tu wa hatari😅 ila ukabidhiwe LC300 VX-R 410HP halafu sijui mwengine ana BMW X5 kwa njia zetu za bongo kipigo kinaweza kikahusika vyema tu.

Sababu under traffic conditions za kibongo ambaye mzoefu zaidi wa barabara atatangulia hata kama ana GX110 tu 😅😅😅

Mie mwenyewe hunichapi kizembe yani nikiwa na mashine inayoeleweka! Yani uwe na 2GR halafu 300HP plus kuna gari gani itakusumbua hapo highway! Ukiupata mnyooko wa bagamoyo tu ni maangamizi yani una weave ile kiroho mbaya dakk 0 umechomeka na kurudi site yako! Yani nikifloor pedal rpm 7 ikivuta ikaachia mzee niko gari ya 3 mbele dkk 0 tu!
GX 110 muundo wake kwa nje auvutii ila kwa ndani kuna kacomfy flan na halafu kwenye mwendo pia si haba sana
 
Nikiwa na hiki chombo changu, wooote nawakalisha..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38]
IMG_20211130_100216.jpg
 
Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama WA barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani
Unavyosema mbabe wa barabarani you mean both off road na town roads.
So swali langu hilo gari linaweza perform off roasd at same speed?
 
Back
Top Bottom