Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Finally some sense!
 
Nyie bado Hamjaakutana na Raum kwenye Kilima nyie.....
 
Na hapa ndio kina Mercedes kompressor na 525i na wenzao wanapoangushwa na gari simple kama fuga.
 
Labda ungeichapa Kompresor ya mabua au dereva angekuwa Hamisa mobeto [emoji3][emoji3][emoji3]
Niliichapa kompressor Njia ya Iringa kutokea Mbeya, akawa anahangaika kunifukuzia. Akifika natoa nampiga gap la gari kama 5 namsikilizia arudi. Alifanywa kama mtoto. Over and over again.

Ligi bongo ni uwezo wa chuma uliyonayo kutoka gari on time na kurudi, full stop. Na kutokuogopa kupigwa mkono na askari.
 
Kompressor hamna kitu hasa hivi C200 sijui C180 hakuna kitu kwa short distance lazima ukanyanyase kwa wewe mwenye gari yenye 300HP..
 
Na hapa ndio kina Mercedes kompressor na 525i na wenzao wanapoangushwa na gari simple kama fuga.
Kwa gari yako kwa short distance competition inakufaa BMW 545i na kuendelea kwa sehemu specification zenu zinaendana hapo chini ya 180 mtachuana ila sio Komressor utaionea
 
Komrepssor ipi, kuna moja nilitumia ya mtu nikaona mmmh! kuna kompressor za kuogopa zile V8 E63 AMG zile unakaa mbali au V8 C55 AMG pale ni motooo haswaaa hata muungurumo wake unapishia mbali
mziki wa c180 kompressor waendesha subaru hizi xt turbo hawakuoni,usifike hata kwenye v8, cheki video.
 
mziki wa c180 kompressor waendesha subaru hizi xt turbo hawakuoni,usifike hata kwenye v8, cheki video.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Kwa road iliyo nyooka kama hiyo hata Fuga 350GT anakaa, kenyewe kwenye dashboard kana adavantage huku huyu Fuga iana 180.. Kukimbia vinakimbia huko kwenye V8 niwepa dozi kubwa, hata C350 inatosha nilitoa dose nzito sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…