ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Mnaongeaga sana ila mnajua Fuga zinachowafanyiaga huko highwayMbali sana huko. 540 kwote uko? 520 tu inamtosha, tena hauna haja ya xDrive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaongeaga sana ila mnajua Fuga zinachowafanyiaga huko highwayMbali sana huko. 540 kwote uko? 520 tu inamtosha, tena hauna haja ya xDrive.
Egos za watu zinaguswa hapa
Kwamba hazina low end torque? Yani mlimani nissan zinajikokotaNissan yoyote kwenye mwinuko au milimani hakuna kitu advantage ya Nissan ni kwenye Tambalale na miteremko
Huwa sielewi kwaniniKwamba hazina low end torque? Yani mlimani nissan zinajikokota
Finally some sense!Leo nitarudia kusema ambacho niliwahi kusema humu ndani.
It doesn't matter what's under the hood. The only thing that matters is who is behind the wheel.
Kwa barabara za bongo njoo na gari yoyote unayoijua wewe mimi nipe gari ya kijapan yoyote ya engine ya v6, ukinishinda utakua umenishinda kwenye udereva, sio uwezo wa gari. Na kwenye mia, watanishinda wawili.
Barabara zetu bongo haziexhaust potential ya gari. Hakuna barabara yenye kukupa full potential ya gari kwa dk 2 mfululizo.
Zote zinaishia kua average. Hayo ma Fuga, VW, BM hakuna anaye exhaust potential yake full hapa bongo. Inabaki kua title tuu
Wenzetu wana highways ambazo ni marufuku kutembea chini ya 80, yani ukishika hiyo lane, ni nduki baya. Hapo ndo utaenjoy gari yenye uwezo mkubwa.
Hapa kwetu, kumejaa hamps, bumps, vivuko vya walemavu, rasta, mashimo, askari, wapi utatembea 260 kwa dk 2 mfululizo? Utakachowin ni kuaccelerate kwa haraka kuifikia speed flan. Hapo tutashindana udereva, sio uwezo wa gari
Na hapa ndio kina Mercedes kompressor na 525i na wenzao wanapoangushwa na gari simple kama fuga.Ndio maana nilitangulia kusema kama ishu ni nani awahi kufika basi mjue tu kinachomata ni dereva! Mara nyingi barabara ambazo mjerumani atatamba ni ambazo hazina mazonge yani njia iwe mnyooko tu wa hatari[emoji28] ila ukabidhiwe LC300 VX-R 410HP halafu sijui mwengine ana BMW X5 kwa njia zetu za bongo kipigo kinaweza kikahusika vyema tu.
Sababu under traffic conditions za kibongo ambaye mzoefu zaidi wa barabara atatangulia hata kama ana GX110 tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Mie mwenyewe hunichapi kizembe yani nikiwa na mashine inayoeleweka! Yani uwe na 2GR halafu 300HP plus kuna gari gani itakusumbua hapo highway! Ukiupata mnyooko wa bagamoyo tu ni maangamizi yani una weave ile kiroho mbaya dakk 0 umechomeka na kurudi site yako! Yani nikifloor pedal rpm 7 ikivuta ikaachia mzee niko gari ya 3 mbele dkk 0 tu!
Niliichapa kompressor Njia ya Iringa kutokea Mbeya, akawa anahangaika kunifukuzia. Akifika natoa nampiga gap la gari kama 5 namsikilizia arudi. Alifanywa kama mtoto. Over and over again.Labda ungeichapa Kompresor ya mabua au dereva angekuwa Hamisa mobeto [emoji3][emoji3][emoji3]
Una hela mfuko wa shati?Fuga ujinga sana spea za kulenga
Una uzoefu nazo ngapi?Huwa sielewi kwanini
Kompressor hamna kitu hasa hivi C200 sijui C180 hakuna kitu kwa short distance lazima ukanyanyase kwa wewe mwenye gari yenye 300HP..Niliichapa kompressor Njia ya Iringa kutokea Mbeya, akawa anahangaika kunifukuzia. Akifika natoa nampiga gap la gari kama 5 namsikilizia arudi. Alifanywa kama mtoto. Over and over again.
Ligi bongo ni uwezo wa chuma uliyonayo kutoka gari on time na kurudi, full stop. Na kutokuogopa kupigwa mkono na askari.
Kwa gari yako kwa short distance competition inakufaa BMW 545i na kuendelea kwa sehemu specification zenu zinaendana hapo chini ya 180 mtachuana ila sio Komressor utaioneaNa hapa ndio kina Mercedes kompressor na 525i na wenzao wanapoangushwa na gari simple kama fuga.
Watu wanaongeaga as if kila Beemer itamtesa kila MjapaniKwa gari yako kwa short distance competition inakufaa BMW 545i na kuendelea kwa sehemu specification zenu zinaendana hapo chini ya 180 mtachuana ila sio Komressor utaionea
Kuna upenzi huenda umeshika mioyo yao, kwenye ligi kuna mambo mengi. Sio kila gari ya ulaya ina nguvu na sio kila gari ya japan ipo weak.Watu wanaongeaga as if kila Beemer itamtesa kila Mjapani
Komrepssor ipi, kuna moja nilitumia ya mtu nikaona mmmh! kuna kompressor za kuogopa zile V8 E63 AMG zile unakaa mbali au V8 C55 AMG pale ni motooo haswaaa hata muungurumo wake unapishia mbaliKompressor ni mashine nakiri.
mziki wa c180 kompressor waendesha subaru hizi xt turbo hawakuoni,usifike hata kwenye v8, cheki video.Komrepssor ipi, kuna moja nilitumia ya mtu nikaona mmmh! kuna kompressor za kuogopa zile V8 E63 AMG zile unakaa mbali au V8 C55 AMG pale ni motooo haswaaa hata muungurumo wake unapishia mbali
mziki wa c180 kompressor waendesha subaru hizi xt turbo hawakuoni,usifike hata kwenye v8, cheki video.
It all matters with who is behind the wheelNa hapa ndio kina Mercedes kompressor na 525i na wenzao wanapoangushwa na gari simple kama fuga.
Uwezo wa gari ndiyo kitu cha kwanza mzee baba!It all matters with who is behind the wheel
KweliUwezo wa gari ndiyo kitu cha kwanza mzee baba!
Driver hata awe mzuri vipi, kama gari haina Uwezo hatoboi..