Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
ndio hiyo hiyo G30Mbona kama G30 hivi
Yes ni series ya G30
5 series ipi ni the bestYes ni series ya G30
Kweli kabisa, kumchonganisha Polo hizi zilojaa humu road na 5 series inakuwa mchuano hauja balanceVW nyingi are on their own league.
kanisa la JF kwaya ya kigango cha magari πππHivi mnaimba kwaya gani leo..??
Maana wengine hata hatuelewi mnajadili maombi ya kanisa gani..π€·
Kweli kabisa, kumchonganisha Polo hizi zilojaa humu road na 5 series inakuwa mchuano hauja balance
A4 akikutana tu na 3 series 335i lenye turbo huku lina cc 3000 lazima ikate roho mapemaaa πππππ tu.. zingekuwa sportback kwa hizo AudiMchuano labda kati ya
Audi A4 vs BMW 3 series
Audi A6 vs BMW 5 series
Audi A8 vs BMW 7 series
5 series ipi ni the best
A4 akikutana tu na 3 series 335i lenye turbo huku lina cc 3000 lazima ikate roho mapemaaa πππππ tu.. zingekuwa sportback kwa hizo Audi
Hii sijawai iona kama ipo hii nalala nayo mbele, maana nikiangia Beforward huwa nina set brand, CC , turbo haziji za audi zenye hiyo 3000 kwa A4Sema Audi nyingi ni NA...
Ila kuanzia mwaka 2008 kuna toleo moja la A4 lina 3.0 V6 Direct injection na turbo juu.
Nimeziona asee zimetulia sana, napenda gari ianzie CC 3000, na iwe na Turbo.. ngoma mjerumani ππSema Audi nyingi ni NA...
Ila kuanzia mwaka 2008 kuna toleo moja la A4 lina 3.0 V6 Direct injection na turbo juu.
Hapa bado nipo njia panda, nataka gari kati ya Audi, BMW ( nilikuwa naangalia Series 3 na 5 ) na Mercedez kwenye benz nilikuwa nime opt E350 lakini cha kwanza nataka gari yenye turbo na cc isiwe chini ya 3000 ya mwaka 2014... Napenda mashindano barabani ππππ nafanya tafiti sana sijafikiwa uamuzi wa mwisho kabisa japo E350 kama chaguo la kwanza
Hapa nibaki na Audi tu, nilizitafuta sana Audi A4 zenye 3.0l TFSI leo ndio nimeziona be forawrdKwa upande wa Audi kama unaweza kuihudumia direct injection engine chukua A4 B8 3.0L TFSI.
BMW 5 series chukua F10 3.0L N55 Turbo inline 6
BMW 3 series chukua F30 yenye engines kati ya N55, S55 au B58 zote ni inline 6 na zina turbo.
E class ya miaka hiyo ya 2014 around Cc3000 halafu iwe na turbo sidhani kama utapata....
Nafikiri pia hizi Audi zipo chache Wagon moja ndio nimeona TFSI, hizi sedani zote nilizo ziona ni FSI ila zote ni 3.0LKwa upande wa Audi kama unaweza kuihudumia direct injection engine chukua A4 B8 3.0L TFSI.
BMW 5 series chukua F10 3.0L N55 Turbo inline 6
BMW 3 series chukua F30 yenye engines kati ya N55, S55 au B58 zote ni inline 6 na zina turbo.
E class ya miaka hiyo ya 2014 around Cc3000 halafu iwe na turbo sidhani kama utapata....
Mi nakupa sifa yake kuu hio bimmer mzee, ukifungua mlango wake Ni mzito saaaana πππFuga anafugwa humu kama mtoto mdogo
View attachment 2025812
wa kupuliza
Mad Max
Extrovert
πππππ
watu walikuwa wanajua hata mie gari yangu milango mibovu kumbe ni uzito tu Audi na BMWMi nakupa sifa yake kuu hio bimmer mzee, ukifungua mlango wake Ni mzito saaaana πππ
Nafikiri pia hizi Audi zipo chache Wagon moja ndio nimeona TFSI, hizi sedani zote nilizo ziona ni FSI ila zote ni 3.0L
Beforward hawana asee ,Jaribu kuangalia 3.0L TFSI sedan zipo