Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Hapa bado nipo njia panda, nataka gari kati ya Audi, BMW ( nilikuwa naangalia Series 3 na 5 ) na Mercedez kwenye benz nilikuwa nime opt E350 lakini cha kwanza nataka gari yenye turbo na cc isiwe chini ya 3000 ya mwaka 2014... Napenda mashindano barabani 😀😀😀😀 nafanya tafiti sana sijafikiwa uamuzi wa mwisho kabisa japo E350 kama chaguo la kwanza

Kwa upande wa Audi kama unaweza kuihudumia direct injection engine chukua A4 B8 3.0L TFSI.

BMW 5 series chukua F10 3.0L N55 Turbo inline 6

BMW 3 series chukua F30 yenye engines kati ya N55, S55 au B58 zote ni inline 6 na zina turbo.

E class ya miaka hiyo ya 2014 around Cc3000 halafu iwe na turbo sidhani kama utapata....
 
Hapa nibaki na Audi tu, nilizitafuta sana Audi A4 zenye 3.0l TFSI leo ndio nimeziona be forawrd
 
Kwa upande wa Audi kama unaweza kuihudumia direct injection engine chukua A4 B8 3.0L TFSI.

BMW 5 series chukua F10 3.0L N55 Turbo inline 6

BMW 3 series chukua F30 yenye engines kati ya N55, S55 au B58 zote ni inline 6 na zina turbo.

E class ya miaka hiyo ya 2014 around Cc3000 halafu iwe na turbo sidhani kama utapata....
Nafikiri pia hizi Audi zipo chache Wagon moja ndio nimeona TFSI, hizi sedani zote nilizo ziona ni FSI ila zote ni 3.0L
 
Mnyama wa pale kijijini kwetu.
1637379163737974.jpg
 
Back
Top Bottom