BlueEfficiency ya benz, Valvematic ya Toyota, V-TEC ya Honda and MIVEC ya Mitsubishi! Zote zinafanya kazi hio hio ya kuongeza Efficiency kwenye uchomaji kwa kubalance air intake na valve timming.ipo mifumo mingi mkuu, kadri wanavyo develop ulaji wa wese unapungua.. gari zisizokula sana wese hybrid ila hizi kavu kavu naona haziachani sana, naona kuna VANOS, VITEC, n..k kila moja ina ufanisi wake
Huko sasa ni kutaftana uchawi tumekubaliana mwisho ni BMW mzeeπhamna pa kujifichia πππ
View attachment 2026748
π€£π€£π€£Haka Kagari Nimekafananisha na Yale nilikua Nayaunda kwa Nyaya utotoni [emoji3][emoji3]
Yah! ipo mingi na wanaendelea kui develop, raha ya gari petrol stationBlueEfficiency ya benz, Valvematic ya Toyota, V-TEC ya Honda and MIVEC ya Mitsubishi! Zote zinafanya kazi hio hio ya kuongeza Efficiency kwenye uchomaji kwa kubalance air intake na valve timming.
Heheheheh karibu kwenye 5.0L 2UR V8 machine!Yah! ipo mingi na wanaendelea kui develop, raha ya gari petrol station
ππππ kwani hiyo ni mjapan, hamna pa kutokeaHuko sasa ni kutaftana uchawi tumekubaliana mwisho ni BMW mzeeπ
Huyo Porsche ntakutandika na GT-R tuπ lazma akae kwa patternπππππ kwani hiyo ni mjapan, hamna pa kutokea
Hii inanusa tu , umeme mwingi sanaaa πππHeheheheh karibu kwenye 5.0L 2UR V8 machine!
GTR hapo hachomoki kwa porsche, wazungu wapo kibao wa kukinukisha ππππHuyo Porsche ntakutandika na GT-R tuπ lazma akae kwa patternπ
View attachment 2026754
Huko sasa ni kutaftana uchawi tumekubaliana mwisho ni BMW mzeeπ
Ok, ngoja nimpe assignment Mjep(SBT) aicheki huko huko Japan.Ye anataka 3.0L TFSI
Wengine sie ni watu wa mavurugu road yaani πππππ .. siku nikipata hela natafuta V12 6.6L Turbo Power plus plus ππOk, ngoja nimpe assignment Mjep(SBT) aicheki huko huko Japan.
Hii tunampa wema sepetu kabisa Audi S7 sportback nae mpeni Crown 2GR .. ataleta mlejesho πππKwa hiyo ukipewa Toyota crown mwingine ana Audi A8 quadro utashinda Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Porsche 911 Turbo S hata baadhi ya Ferrari na Lambos anazikalisha mchana kweupe.Huyo Porsche ntakutandika na GT-R tu[emoji28] lazma akae kwa pattern[emoji28]
View attachment 2026754
Ndio maana nilitangulia kusema kama ishu ni nani awahi kufika basi mjue tu kinachomata ni dereva! Mara nyingi barabara ambazo mjerumani atatamba ni ambazo hazina mazonge yani njia iwe mnyooko tu wa hatariπ ila ukabidhiwe LC300 VX-R 410HP halafu sijui mwengine ana BMW X5 kwa njia zetu za bongo kipigo kinaweza kikahusika vyema tu.Kama ni barabara za bongo, zisifungwe (watumiaji wengine wa barabara waendelee na shuhuli zao kama kawaida), yaani isiwe racing. Tutoke kituo A kwenda B, mathalan dar to singida. Ukija na audi yako ukafika singida kabla yangu nitarudi dar kwa mguu huku nikichapwa viboko 20 kila baada ya km 50
Ila kama ni racing, siwezi tia mguu maana road zitakua closed, gari yenye uwezo mkubwa itaexhaust potential yake fully, huwezi pambanisha hapo.
GT-R anavishwa shelaPorsche 911 Turbo S hata baadhi ya Ferrari na Lambos anazikalisha mchana kweupe.
GT-R ikiwa tunned ndo inaweza kufurukuta kwa 911. Otherwise, huyo ni mchumba hata kwa kina M5/M8 Comp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kompressor nazo zinakichaa sana ujueπ kuna siku nimekutana na jamaa ana C200 kapagawa aisee anaibonyeza na inahama sio mchezo π nilitaka nimkazie ila gari zilikuwa nyingi sana road! Nikaona itakula kwangu na drum brakes zanguπHii tunampa wema sepetu kabisa Audi S7 sportback nae mpeni Crown 2GR .. ataleta mlejesho πππ
kompressor habari ingine, moto ule ungekuchoma πππSema kompressor nazo zinakichaa sana ujueπ kuna siku nimekutana na jamaa ana C200 kapagawa aisee anaibonyeza na inahama sio mchezo π nilitaka nimkazie ila gari zilikuwa nyingi sana road! Nikaona itakula kwangu na drum brakes zanguπ
Kaanzia shekilango anaitafta usalama yani akinyunyuzia ni kwenye tuta akishuka ni anapepea mbaya π
Ningemnyoosha π sema mazingira hayakuwa conducive kwangu! Mandela road huwa ndio sehem ya kuoneshana makaliπ hasa ikifika mida ya saa 4 hivi panakuwa peupe sana kuanzia kijazi mpaka mataa ya relini ni moto tu! Hamna BMW,Nissan wala Audi ni kichapo tuπkompressor habari ingine, moto ule ungekuchoma πππ
Labda ungeichapa Kompresor ya mabua au dereva angekuwa Hamisa mobeto πππNingemnyoosha π sema mazingira hayakuwa conducive kwangu! Mandela road huwa ndio sehem ya kuoneshana makaliπ hasa ikifika mida ya saa 4 hivi panakuwa peupe sana kuanzia kijazi mpaka mataa ya relini ni moto tu! Hamna BMW,Nissan wala Audi ni kichapo tuπ