Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

ipo mifumo mingi mkuu, kadri wanavyo develop ulaji wa wese unapungua.. gari zisizokula sana wese hybrid ila hizi kavu kavu naona haziachani sana, naona kuna VANOS, VITEC, n..k kila moja ina ufanisi wake
BlueEfficiency ya benz, Valvematic ya Toyota, V-TEC ya Honda and MIVEC ya Mitsubishi! Zote zinafanya kazi hio hio ya kuongeza Efficiency kwenye uchomaji kwa kubalance air intake na valve timming.
 
😀😀😀😀 kwani hiyo ni mjapan, hamna pa kutokea
Huyo Porsche ntakutandika na GT-R tu😅 lazma akae kwa pattern😅
23E7733A-32B0-429B-B2CA-2488ACF9E98B.jpeg
 
Kama ni barabara za bongo, zisifungwe (watumiaji wengine wa barabara waendelee na shuhuli zao kama kawaida), yaani isiwe racing. Tutoke kituo A kwenda B, mathalan dar to singida. Ukija na audi yako ukafika singida kabla yangu nitarudi dar kwa mguu huku nikichapwa viboko 20 kila baada ya km 50

Ila kama ni racing, siwezi tia mguu maana road zitakua closed, gari yenye uwezo mkubwa itaexhaust potential yake fully, huwezi pambanisha hapo.
Ndio maana nilitangulia kusema kama ishu ni nani awahi kufika basi mjue tu kinachomata ni dereva! Mara nyingi barabara ambazo mjerumani atatamba ni ambazo hazina mazonge yani njia iwe mnyooko tu wa hatari😅 ila ukabidhiwe LC300 VX-R 410HP halafu sijui mwengine ana BMW X5 kwa njia zetu za bongo kipigo kinaweza kikahusika vyema tu.

Sababu under traffic conditions za kibongo ambaye mzoefu zaidi wa barabara atatangulia hata kama ana GX110 tu 😅😅😅

Mie mwenyewe hunichapi kizembe yani nikiwa na mashine inayoeleweka! Yani uwe na 2GR halafu 300HP plus kuna gari gani itakusumbua hapo highway! Ukiupata mnyooko wa bagamoyo tu ni maangamizi yani una weave ile kiroho mbaya dakk 0 umechomeka na kurudi site yako! Yani nikifloor pedal rpm 7 ikivuta ikaachia mzee niko gari ya 3 mbele dkk 0 tu!
 
Hii tunampa wema sepetu kabisa Audi S7 sportback nae mpeni Crown 2GR .. ataleta mlejesho 😀😀😀
Sema kompressor nazo zinakichaa sana ujue😅 kuna siku nimekutana na jamaa ana C200 kapagawa aisee anaibonyeza na inahama sio mchezo 😅 nilitaka nimkazie ila gari zilikuwa nyingi sana road! Nikaona itakula kwangu na drum brakes zangu😅

Kaanzia shekilango anaitafta usalama yani akinyunyuzia ni kwenye tuta akishuka ni anapepea mbaya 😅
 
kompressor habari ingine, moto ule ungekuchoma 😀😀😀
 
kompressor habari ingine, moto ule ungekuchoma 😀😀😀
Ningemnyoosha 😅 sema mazingira hayakuwa conducive kwangu! Mandela road huwa ndio sehem ya kuoneshana makali😅 hasa ikifika mida ya saa 4 hivi panakuwa peupe sana kuanzia kijazi mpaka mataa ya relini ni moto tu! Hamna BMW,Nissan wala Audi ni kichapo tu😅
 
Labda ungeichapa Kompresor ya mabua au dereva angekuwa Hamisa mobeto 😀😀😀
 
Back
Top Bottom