Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Hayo mi cjui bro,,,lakini mjapan mpeleke popote pale iwe rough road, Lami, inaenda tuuu. Gari ambayo naipenda pia Land rover defender (TDI) Huyu ata kwenye tope anapita, ni gari moja ngumu mno.
Ukitaka raha ulaya haikwepeki mkuu.. nyie endelee kujificha kwenye hilo chaka lenu.. tutawawashia utambi 😀😀
 
Nchi za afrika, kiarabu n.k gari za mjapan zimetawala

Ukija kwa mchina piaa magari makubwa HOWO, FAW, SHACKMAN N.K, kila kona ya nchi/Afrika utaziona.

Wazungu hawana lolote, ingawa magari yao ni magumu lakini hayana soko kama ya mjapan na mchina.
 
gari za mzungu gharama.. angalia level ya uchumi pia.. hakuna asie taka Astorn Martin au Ferrari au Rollys Phantom au kitu cha Porche.. si ulaya Arabuni wala Africa.. alafu mazungu hawezi tengeneza gari kwa mazingira ya africa wakati yeye haishi katika mazingira hayo mkuu.. 😀😀😀
 
Mbona mjapan anatengeneza magari kwa mazingira ya nchi ,mfano nchi za kiarabu zenye joto kali, hilo gari ukilileta hapa kwetu utadundanalo miaka na miaka. Mjapan weka mbali na watoto chief 😁
 
Soko la mzungu au mfumo wa biashara wa mzungu tofauti na mjapan.. Mjapan anapambana mzungu amemaliza.. alipo naliza mzungu ndio mjapana anaanzia.. huwezi linganisha hata tech ya gari za mzungu na mjapan.. mzungu ahana shida na senti ya mwafrica.. ila mjapana ana shida na senti ya mwafrica
 
Kama hana shida na senti za mwafrika, basi asitishe kutengeneza magari uone watakavyoyumba.
 
Okay, kaangalie maendeleo ya nchi iliyotengeza hiyo Toyota Hilux na Ford Range..

Hiyo co reason, mbona mjerumani ana magari magumu kumzidi mmarekani lakini amepitwa kimaendeleo!!

Haya, kama ndiyo sababu hiyo,,,basi mchina inasadikika kuwa ndiye no 1 or 2 kwa uchumi mkubwa duniani na nchi yake imeendelea labda mara 20 ya mjerumani anaeproduce magari magumu na ghali.
 
Mchina yupo kwenye G7? ohoo kumbe unajua mjerumani ana gari ngumu sana.. basi fresh mkuu.. mzungu hatengezi gari kama mjapana.. mjapana anakuletea gari kutokana na mazingira yako na hali yako ya maisha.. gari zake hazina standard moja.. kama mzunguu
 
Kwani analeta huku, au sie tunaagiza kwao.. Mzungu kwa issue ya magari hategemei sana soko la africa

Vyovyote vile ujuavyo,,, kama hategemei afrika, bac nenda gulf countries zimejaa gari za mzungu, VOLVO AND SCANIA/SWEDEN, MERCEDES BENZ/GERMANY, FORD/MAREKANI.
 
haya linganisha gari za mchina na hizo tajwa hapo juu kwenye sector ya usafirishaji unipe majibu au kama mjapana na hizo tajwa hapo juu
 
Mchina yupo kwenye G7? ohoo kumbe unajua mjerumani ana gari ngumu sana.. basi fresh mkuu.. mzungu hatengezi gari kama mjapana.. mjapana anakuletea gari kutokana na mazingira yako na hali yako ya maisha.. gari zake hazina standard moja.. kama mzunguu

Co kwamba mjapan gari zake co ngumu, ni ngumu sana chukulia mfano Magari madogo, magari makubwa.

Ukija kwa mchina pia ana magari magumu mfano FAW, HOWO, SHACKMAN. haya magari ukiyajali kwa service nawe yatakujali. Matajiri wa Tanzania kwa sasa wamejikita kwa mchina.
 
Gari gani ambayo ukiacha kuijali itakuwa na maisha? kwa ufupi gari yoyote inahitaji matunzo na kuijari. Europe gari zao pia wanazitumia kwenye mazingira magumu ya kwao na zina kaa.. mazingira magumu ya ulaya sio mazingira magumu ya africa
 
Back
Top Bottom