Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

huu mchezo wa kuigiza hua haunipotezei mda wangu bora nitazame isidingo

Kama hupendi wewe wenzako wanapenda
Pia kuna uongo unaopenda wewe wenzio pia hawapendi

Acha kutoka povu 😡😡😡😡😡
 
Mi nafaham kwamba wrestling ni uongo ila still nafatilia sana coz I'm entertained. Katika real fight mtu hawezi kukaa nje ya ulingo miaka 10 akaja kumkalisha the best wa wakati huo, ila kwakuwa haya ni maigizo ndio maana lolote linawezekana.
 
Atakuwa kahujumiwa jamaa aisee!!!
 
Kumbe ni ya uongo duu sasa watu wanayashobokea ya nini! Wajiunge na gemu zetu za huku tuendelee kubet
Ni kama unavyoangalia movie wajua kabisa Ni uongo na kwamba watu wanaigiza but unaangalia tu. Ndio hvy Ni entertainment Ile wacha tufurahi though Ni ya kupangwa
 
Nikajua zile box za Tyson kumbe hawa kina Cena, maigizo hayo msidhani kweli
 
Lesnar akiwa mma anakuwa mchumba tu, sio mkali kwenye real fight, kuna pambano kaharibiwa sura vibaya
 
Mieleka ina ukweli gani?me sielewagi naona uwongo uwongo tu!Mkuu kuna ukweli pale?
 
Kama hupendi wewe wenzako wanapenda
Pia kuna uongo unaopenda wewe wenzio pia hawapendi

Acha kutoka povu 😡😡😡😡😡
Povu umelianza ww coz me nasema na cja shawishi mtu ni hisia zangu sasa ulitaka nisifie nisicho kipenda?
 
Safi sana huyu Block amepigaga sana wenzie kiboko yake ni Bill tena ndani ya muda mfupi kuwahi kutokea nimeipenda sana
 
"Don't try it at home or school"
Ila yale mapambano makubwa ya ubingwa kama vile Wrestlimania, Royal Rambo, etc huwa ni ukweli kabisa.
Nikuhakikihie Hakuna Pambanonhata moja La wresttling ni la kweli . Usiwe Blind kiasi hiko ndugu .. Jaribu kuchunguza mambo .. Secret zote za wresstling Zipo Yotube ...search and watch..
 
Khaa! Mbona watu wana toka povu, wakati hakuna aliye sema ni kweli, siye wenzenu tunalijua hilo.
Ile ni burudani kama nyie mnavo angalia bongo muvi.
Vile inavo kuwa scripted ndio inafurahisha, ndio maana unaona hata wenzenu wazungu maelfu kwa maelfu huingia ukumbuni na wana lipa kiingilio.
Kama hutaki wewe usiangalie
 
Ndio ni uwongo ulioteka dunia na mashabiki wanavyojaza ukumbu na kuingia kwa pesa nyingi na kodi inakusanywa kubwa sana mieleka marekani inaingiza pesa nyingi sana na ndio maana hata wanamieleka hawalii njaa kwa maigizo yao sie tunaojifanya hatupendi maigizo hiyo boxing tuuu wahuthuriaji kwa manati hebu nasi tukiacha mpira wa miguu tulioletewa hebu tubuni cheti cha halisi ili dunia ituangalie watusifie maana vingi tunaiga kutoka kwao na kuvikashifu na sie ubunifu zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…