Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,884
- 8,956
huu mchezo wa kuigiza hua haunipotezei mda wangu bora nitazame isidingo
Kama hupendi wewe wenzako wanapenda
Pia kuna uongo unaopenda wewe wenzio pia hawapendi
Acha kutoka povu 😡😡😡😡😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu mchezo wa kuigiza hua haunipotezei mda wangu bora nitazame isidingo
Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live asubuhi ya kuamkia Jumapili ya tarehe 21 September 2016..
Hakika me to Japo nilifurahi ila niliboreka kwa muda huo mfupi ikanikumbusha mambo ya Mike Tyson alipompoga Mtu wakati watu wanakata tiketi game ikawa ishaisha Evander alikasirika sana alipohojiwa na akaomba Pambano na kuja Kumshinda Tyson.
Sasa Huyu Mzee wa Miaka 49 tokea alipostaafu na ameamua kurejea kwa kasi hii mbona atawatuliza wengi... maana tokea alipojiuzuru kushiriki Mieleka alikuwa hajawahi poteza Pambano na aliweza kubeba Mikanda yote mikubwa ya Ubingwa wa Mieleka... Baada ya kujitamba kwa muda mrefu hatimae Mbabe kajulikana... Bill Goldberg alidai amerejea baada ya Mwanae kulilia amuone baba akipigana na sio record tu za kitambo... So Hwo is Next.....!
Ni kama unavyoangalia movie wajua kabisa Ni uongo na kwamba watu wanaigiza but unaangalia tu. Ndio hvy Ni entertainment Ile wacha tufurahi though Ni ya kupangwaKumbe ni ya uongo duu sasa watu wanayashobokea ya nini! Wajiunge na gemu zetu za huku tuendelee kubet
Lesnar akiwa mma anakuwa mchumba tu, sio mkali kwenye real fight, kuna pambano kaharibiwa sura vibayait is all staged mkuu!! in a real sense theres no way Rey Mysterio akampiga Great Khali. umeashamuona Brock 'the pain' Lesnar kwenye ulingo wa MMA!???sio wa kupigwa kama alivyokung'utwa ki softie vile kwenye Survivor Series!
mechi zinatengenezwa kukata kiu ya hype ya hizo mechi zenyewe,kuongea kiwango cha subscribers kwenye PPV, mwisho wa siku ni kama bongo muvi tu!
Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live asubuhi ya kuamkia Jumapili ya tarehe 21 September 2016..
Hakika me to Japo nilifurahi ila niliboreka kwa muda huo mfupi ikanikumbusha mambo ya Mike Tyson alipompoga Mtu wakati watu wanakata tiketi game ikawa ishaisha Evander alikasirika sana alipohojiwa na akaomba Pambano na kuja Kumshinda Tyson.
Sasa Huyu Mzee wa Miaka 49 tokea alipostaafu na ameamua kurejea kwa kasi hii mbona atawatuliza wengi... maana tokea alipojiuzuru kushiriki Mieleka alikuwa hajawahi poteza Pambano na aliweza kubeba Mikanda yote mikubwa ya Ubingwa wa Mieleka... Baada ya kujitamba kwa muda mrefu hatimae Mbabe kajulikana... Bill Goldberg alidai amerejea baada ya Mwanae kulilia amuone baba akipigana na sio record tu za kitambo... So Hwo is Next.....!
Povu umelianza ww coz me nasema na cja shawishi mtu ni hisia zangu sasa ulitaka nisifie nisicho kipenda?Kama hupendi wewe wenzako wanapenda
Pia kuna uongo unaopenda wewe wenzio pia hawapendi
Acha kutoka povu 😡😡😡😡😡
Ila movie na tamthilia mnaangaliaNikajua zile box za Tyson kumbe hawa kina Cena, maigizo hayo msidhani kweli
Nikuhakikihie Hakuna Pambanonhata moja La wresttling ni la kweli . Usiwe Blind kiasi hiko ndugu .. Jaribu kuchunguza mambo .. Secret zote za wresstling Zipo Yotube ...search and watch.."Don't try it at home or school"
Ila yale mapambano makubwa ya ubingwa kama vile Wrestlimania, Royal Rambo, etc huwa ni ukweli kabisa.
Hiyo mieleka ni maigizo hata usijipe tabu.
Hii mieleka ni maigizo wewe endelea kushangilia maigizo, watakucheka watu.Punguza ushamba wewe
kwel ushamba umemzdi kasi hyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Punguza ushamba wewe
Haya shangilieni igizo la kaole Sanaa group.kwel ushamba umemzdi kasi hyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]