souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
Miaka kama 10 iliyopita Goldberg alimdunda huyo Lesner.Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live asubuhi ya kuamkia Jumapili ya tarehe 21 September 2016..
Hakika me to Japo nilifurahi ila niliboreka kwa muda huo mfupi ikanikumbusha mambo ya Mike Tyson alipompoga Mtu wakati watu wanakata tiketi game ikawa ishaisha Evander alikasirika sana alipohojiwa na akaomba Pambano na kuja Kumshinda Tyson.
Sasa Huyu Mzee wa Miaka 49 tokea alipostaafu na ameamua kurejea kwa kasi hii mbona atawatuliza wengi... maana tokea alipojiuzuru kushiriki Mieleka alikuwa hajawahi poteza Pambano na aliweza kubeba Mikanda yote mikubwa ya Ubingwa wa Mieleka... Baada ya kujitamba kwa muda mrefu hatimae Mbabe kajulikana... Bill Goldberg alidai amerejea baada ya Mwanae kulilia amuone baba akipigana na sio record tu za kitambo... So Hwo is Next.....!
Kama ni maigizo jiulize bongo tumeshindwa nn kuiga? Muda mwingine muache tu mambo yapite bila kuonyesha udhaifu wako wa kishambahuu mchezo wa kuigiza hua haunipotezei mda wangu bora nitazame isidingo
hehehehehe we bibi you are never boring..Wajinga Ndiyo Waliwao.
Kama mnajua ni uongo kwanini mnakuwa excited na hayo matokeo sasa?? Wakati mnajua yanapangwaKhaa! Mbona watu wana toka povu, wakati hakuna aliye sema ni kweli, siye wenzenu tunalijua hilo.
Ile ni burudani kama nyie mnavo angalia bongo muvi.
Vile inavo kuwa scripted ndio inafurahisha, ndio maana unaona hata wenzenu wazungu maelfu kwa maelfu huingia ukumbuni na wana lipa kiingilio.
Kama hutaki wewe usiangalie
Hiyo mieleka inabidi ipelekwe kwenye zile channel za cartoon, watoto wetu na mabekitatu wawe wanaangalia na kufurahiaKama mnajuauongo kwanini mnakuwa excited na hayo matokeo sasa?? Wakati mnajua yanapangwa
Ndio maana inaitwa Wrestking Entertinment, ni burudani iko scripted ndio lakin series za matukio ndio excitement yetu, humo kuna furaha, majonzi, mapenzi, maumivu na kila aina ya burudani, na script hizo hakuna anayezijua zaid ya wanaocheza wenyewe. na mbona wewe unaangaloa movie na unajua kabisa stering ata shinda tu!!?Kama mnajua ni uongo kwanini mnakuwa excited na hayo matokeo sasa?? Wakati mnajua yanapangwa
Ni search kwa neno lipi?Nikuhakikihie Hakuna Pambanonhata moja La wresttling ni la kweli . Usiwe Blind kiasi hiko ndugu .. Jaribu kuchunguza mambo .. Secret zote za wresstling Zipo Yotube ...search and watch..
Hii mieleka ya wwe huwa inaonekana channel gani?Hizo ni script,game iliyoniuma ni ya sham zain,.alafu kwenye hii survivor series kutoka mapema kwa sasha bank(the boss),wanabaki watu amabao hata hawauzi style hata moja,.
BT sport 2 Kama unatumia app ya mtanzania yule utaona kila jumatatu na jumanneHii mieleka ya wwe huwa inaonekana channel gani?
DuhBT sport 2 Kama unatumia app ya mtanzania yule utaona kila jumatatu na jumanne
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya maigizo ya movie na maigizo ya mieleka... Tofauti ni kubwa sanaNdio maana inaitwa Wrestking Entertinment, ni burudani iko scripted ndio lakin series za matukio ndio excitement yetu, humo kuna furaha, majonzi, mapenzi, maumivu na kila aina ya burudani, na script hizo hakuna anayezijua zaid ya wanaocheza wenyewe. na mbona wewe unaangaloa movie na unajua kabisa stering ata shinda tu!!?
Kuna watu wanaangalia Titanic wabafurahi kabisa wakati di caprio hata hakuwa kwenye meli waliigizia kwenye bwawa na blue screen tuu ila ndio watu wana burudoka hivo.
Sisi ndio burudani yetu wewe kama hupendi piga chini.
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya maigizo ya movie na maigizo ya mieleka... Tofauti ni kubwa sana
so wazungu wakipenda na ww una pendaKhaa! Mbona watu wana toka povu, wakati hakuna aliye sema ni kweli, siye wenzenu tunalijua hilo.
Ile ni burudani kama nyie mnavo angalia bongo muvi.
Vile inavo kuwa scripted ndio inafurahisha, ndio maana unaona hata wenzenu wazungu maelfu kwa maelfu huingia ukumbuni na wana lipa kiingilio.
Kama hutaki wewe usiangalie
Ndioso wazungu wakipenda na ww una penda