Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live asubuhi ya kuamkia Jumapili ya tarehe 21 September 2016..

Hakika me to Japo nilifurahi ila niliboreka kwa muda huo mfupi ikanikumbusha mambo ya Mike Tyson alipompoga Mtu wakati watu wanakata tiketi game ikawa ishaisha Evander alikasirika sana alipohojiwa na akaomba Pambano na kuja Kumshinda Tyson.

Sasa Huyu Mzee wa Miaka 49 tokea alipostaafu na ameamua kurejea kwa kasi hii mbona atawatuliza wengi... maana tokea alipojiuzuru kushiriki Mieleka alikuwa hajawahi poteza Pambano na aliweza kubeba Mikanda yote mikubwa ya Ubingwa wa Mieleka... Baada ya kujitamba kwa muda mrefu hatimae Mbabe kajulikana... Bill Goldberg alidai amerejea baada ya Mwanae kulilia amuone baba akipigana na sio record tu za kitambo... So Hwo is Next.....!

Miaka kama 10 iliyopita Goldberg alimdunda huyo Lesner.
 
Na wale wanao pasuka damu zinamwagika ni uwongo na wale wanaopata injury na wanakaa nje ni uwongo mi napita tu ila hii mechi Goldberg vs Lesnar imeniacha mdomo wazi sikutegemea kabisa
 
huu mchezo wa kuigiza hua haunipotezei mda wangu bora nitazame isidingo
Kama ni maigizo jiulize bongo tumeshindwa nn kuiga? Muda mwingine muache tu mambo yapite bila kuonyesha udhaifu wako wa kishamba
 
Khaa! Mbona watu wana toka povu, wakati hakuna aliye sema ni kweli, siye wenzenu tunalijua hilo.
Ile ni burudani kama nyie mnavo angalia bongo muvi.
Vile inavo kuwa scripted ndio inafurahisha, ndio maana unaona hata wenzenu wazungu maelfu kwa maelfu huingia ukumbuni na wana lipa kiingilio.
Kama hutaki wewe usiangalie
Kama mnajua ni uongo kwanini mnakuwa excited na hayo matokeo sasa?? Wakati mnajua yanapangwa
 
Nimewahi kuiona documentary moja ikielezea namna hao jamaa wanavyokua trained kufanya stunts na uongouongo mwingi ulingoni. Hii mieleka ni maigizo mwanzo mwisho! Sasa kwanini nipoteze usingizi wangu kuangalia maigizo, that is insanity.
 
Kama mnajua ni uongo kwanini mnakuwa excited na hayo matokeo sasa?? Wakati mnajua yanapangwa
Ndio maana inaitwa Wrestking Entertinment, ni burudani iko scripted ndio lakin series za matukio ndio excitement yetu, humo kuna furaha, majonzi, mapenzi, maumivu na kila aina ya burudani, na script hizo hakuna anayezijua zaid ya wanaocheza wenyewe. na mbona wewe unaangaloa movie na unajua kabisa stering ata shinda tu!!?
Kuna watu wanaangalia Titanic wabafurahi kabisa wakati di caprio hata hakuwa kwenye meli waliigizia kwenye bwawa na blue screen tuu ila ndio watu wana burudoka hivo.
Sisi ndio burudani yetu wewe kama hupendi piga chini.
 
Nikuhakikihie Hakuna Pambanonhata moja La wresttling ni la kweli . Usiwe Blind kiasi hiko ndugu .. Jaribu kuchunguza mambo .. Secret zote za wresstling Zipo Yotube ...search and watch..
Ni search kwa neno lipi?
Mkuu yale mapambano "No Extreme Rules" huwa ni ukweli, mtu anapigwa steel chair, ngazi, na damu zinaonekana
 
Hizo ni script,game iliyoniuma ni ya sham zain,.alafu kwenye hii survivor series kutoka mapema kwa sasha bank(the boss),wanabaki watu amabao hata hawauzi style hata moja,.
Hii mieleka ya wwe huwa inaonekana channel gani?
 
BT sport 2 Kama unatumia app ya mtanzania yule utaona kila jumatatu na jumanne
Duh

Mimi nipo dstv, huku huwa wanaonyesha TNT wrestling - huwa naiona haina mvuto kama wwe.
 
Kwenye DSTV nadhani kuna channel watakuwa wanaonyesha, ngoja wanaojua wengine waseme
 
Ndio maana inaitwa Wrestking Entertinment, ni burudani iko scripted ndio lakin series za matukio ndio excitement yetu, humo kuna furaha, majonzi, mapenzi, maumivu na kila aina ya burudani, na script hizo hakuna anayezijua zaid ya wanaocheza wenyewe. na mbona wewe unaangaloa movie na unajua kabisa stering ata shinda tu!!?
Kuna watu wanaangalia Titanic wabafurahi kabisa wakati di caprio hata hakuwa kwenye meli waliigizia kwenye bwawa na blue screen tuu ila ndio watu wana burudoka hivo.
Sisi ndio burudani yetu wewe kama hupendi piga chini.
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya maigizo ya movie na maigizo ya mieleka... Tofauti ni kubwa sana
 
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya maigizo ya movie na maigizo ya mieleka... Tofauti ni kubwa sana

mkuu kila mtu na burudani yake hata mimi huwa nashaangaa sana mtu anapoangalia Movie hadi nae analia naonaga ni ujinga huwezi lia kwa kitu unajua ni uongo.........hata mimi najua kabisa mieleka ni maigizo sawa ila napenda matukio yao walivyo yapangilia that's all..
 
Khaa! Mbona watu wana toka povu, wakati hakuna aliye sema ni kweli, siye wenzenu tunalijua hilo.
Ile ni burudani kama nyie mnavo angalia bongo muvi.
Vile inavo kuwa scripted ndio inafurahisha, ndio maana unaona hata wenzenu wazungu maelfu kwa maelfu huingia ukumbuni na wana lipa kiingilio.
Kama hutaki wewe usiangalie
so wazungu wakipenda na ww una penda
 
Back
Top Bottom