Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

WWE ni michezo ya maigizo. Hakuna uhalisia ata kidogo...fuatilia utayajua mengi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa wa marekani kwejye twitter naye aliomba chenji alisema yule sio Lesnar

Ila event loote kwa ujumla lilikuwa poa sana
Sema kwa kuwa wrestling ni maigizo ndo mana tunaikaushia ila ingekuwa ni boxer, hapa ingekuwa ni balaa
 
Huo Ufake sijauona mbona... Maana hata Box unaweza rusha Ngumi ukamkosa mtu but the reality ikimpata mtu kisawasawa anafleti... Even Soccer kuna watu wamokosa magoli karibu na mstari wa goli wakapiga mipira kufunga na mpira ukaenda juu for side yako utasema mpira nao ni fake game

 
Duh

Mimi nipo dstv, huku huwa wanaonyesha TNT wrestling - huwa naiona haina mvuto kama wwe.
etv ile ya south africa wanaonyesha ila uwa ipo nyuma km hii mechi wale wanangalia kupitia e.tv watakuja ona wiki ijayo
 
Reactions: bdo
Zilikuwa mbili sio moja... Lakini as you said spear za Goldberg wa sasa sio kali kiasi hicho at this age.. yule wa zamani alikuwa hatari sana. Hawa kina edge, roman, Bob lashley wanatania. Huyu jamaa mbavu zinaweza kuhama nafasi. It's all entertainment bro.
 
Reactions: bdo
Lesnar akiwa mma anakuwa mchumba tu, sio mkali kwenye real fight, kuna pambano kaharibiwa sura vibaya
Kabisa. MMA ina watu wake. His take downs are not that much great and punches zake anazidiwa mbali na wengi sana. And he can't use his legs to hit. So anategemea take downs sana
 
Hahaha
Mi nilishia kushangaa tuu maana hata cha maana akicho kifanya siku kiona [emoji1]

Kwanza hata kipindi kile Goldberg alikuwa ana mpiga vile vile.

Ila WWE wanajua kufurahisha watu mwee!

😀😀
 
Hahaha
Huyu alikuwa ni mbabe kweli kweli
Huwa namkubaki pia

Austin 3:16-"i just whipped ur ass" hahahaha.
Kipindi mieleka ilipo kiwa mizuri asilimia 98-100%

Dah huyu mshkaji nilikua namfagila sana, siku moja tyson alitaka kuleta u-boxing wake kwa Stone weee angejuta iyo siku, bahati nzuri waliamua ule ugomvi....maana jamaa alikua anamfuata live kumtandika, tyson akagwaya/ana-comeback hahahaaa Stone sio wa sport sport aisee ni bangi pure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…